Hapana nadhani hujamwelewa mapanki, ipo hivi hizo nguzo za viaduct yaani ilo daraja halitafika station kuu bali likifika maeneo ya pepsi litashuka chini nakuendelea kama kawaida adi station kuu.Hivi kumbe station itakuwa hapo chakechake kwny yale mabehewa mabovu?
2009 juzi hap??! Lile tokea 2003 hukoKuna jengo refu flow Kama Saba lilishajengwa kwa tofari za choma mitaa ya rufiji limeshakua Kama gofuu tu toka miaka ya 2009 mpaka leo lipo hvyo hvyo tu ,hv mmiliki yupo au ? ,Linaharibu madhari ya jiji
Ni floor nane lkn ni jengo la ghorofa tisa.Kuna jengo refu flow Kama Saba lilishajengwa kwa tofari za choma mitaa ya rufiji limeshakua Kama gofuu tu toka miaka ya 2009 mpaka leo lipo hvyo hvyo tu ,hv mmiliki yupo au ? ,Linaharibu madhari ya jiji
Top roof hotel.Nani aseme hii kitu imepigwa Toka jengo Gani hapa mwz mjini?View attachment 2436601
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Yeeap, ni sehem poa Sana ya kuview mji.Top roof hotel.
Kwani ayo mabanda ya kutu hayawezi bomolewaaaNani aseme hii kitu imepigwa Toka jengo Gani hapa mwz mjini?View attachment 2436601
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Makazi ya watu hayo mkuuKwani ayo mabanda ya kutu hayawezi bomolewaaa
Yanachafua sana jiji. wanataka waondolewe kwa billion 100 hao kenge π π πKwani ayo mabanda ya kutu hayawezi bomolewaaa
Igogo miguu ya kuku kila konaIgogo uswazi [emoji91]
Igogo... nasikia wachawi sana hukoIgogo miguu ya kuku kila kona
Upo uchawi wa kiswahili tu ila makundi ya kihuni ni balaa tupuIgogo... nasikia wachawi sana huko
Sasa uhuni umepungua sana, si kama miaka ya 2006 - 2009 yalikuwepo makundi ya vijana wavuta bangi kama majeshi ya waasi, kila mtaa na squad yake, makundi kama Mapimbilo, I1, Manyilizu, Bark boys nk, makundi yakikutana ni vita vitani....siyaoni hayo makundi ck Hz.Igogo miguu ya kuku kila kona
Manyilizu nawaoata wahuni sanaSasa uhuni umepungua sana, si kama miaka ya 2006 - 2009 yalikuwepo makundi ya vijana wavuta bangi kama majeshi ya waasi, kila mtaa na squad yake, makundi kama Mapimbilo, I1, Manyilizu, Bark boys nk, makundi yakikutana ni vita vitani....siyaoni hayo makundi ck Hz.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app