Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Juzi jumamosi kulikuwa na kikao cha bodi ya nssf kuhusiana na kuendeleza ujenzi wa hotel ya nyota tano ya nssf, pesa imeshakuja na sasa wanasubiri material ya ujenzi na ujenzi ulitakiwa kuanza mwezi january lakini nadhani itakuwa mwezi wa pili au wa tatu.
 
Naona hii design ilikua vzr kama jengo wangejenga kubwa kuaaccommodate 1.5 mln or 2 mln pax
20221205_115927.jpg
 
Kuna jengo refu flow Kama Saba lilishajengwa kwa tofari za choma mitaa ya rufiji limeshakua Kama gofuu tu toka miaka ya 2009 mpaka leo lipo hvyo hvyo tu ,hv mmiliki yupo au ? ,Linaharibu madhari ya jiji
 
Ni floor nane lkn ni jengo la ghorofa tisa.
 
Nakubaliana na ripoti ya sensa mwanza inaongoza Kwa ujenzi..nimetembelea baadhi ya vijiji wilaya ya kwimba.. huwezi kuamini watu wanajenga high roof house . ujenzi wa nyumba za kisasa limekuwa jambo la kawaida..kinachofurahisha wanapojenga ni wenyeji na vijana.. umeme kila Kona ...
NB.serikali izidi kuimarisha huduma za jamii vijijini na sekta tegemewa za kiuchumi kama kilimo na biashara [emoji116]
IMG_20221205_180907_884.jpg
View attachment 2436875
 
Igogo miguu ya kuku kila kona
Sasa uhuni umepungua sana, si kama miaka ya 2006 - 2009 yalikuwepo makundi ya vijana wavuta bangi kama majeshi ya waasi, kila mtaa na squad yake, makundi kama Mapimbilo, I1, Manyilizu, Bark boys nk, makundi yakikutana ni vita vitani....siyaoni hayo makundi ck Hz.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Manyilizu nawaoata wahuni sana
 
Back
Top Bottom