Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Maybe tutegemee mwishoni mwa mwezi huu .hii [emoji116] stendi itaanza kutumika ..
Ujenzi wa barabara za stendi [emoji116][emoji116]
PSX_20221206_192008.jpg
PSX_20221206_191927.jpg
 
Baada ya kuwasema sana watu wa Kagera.kuhusu investment mwanza..naona wamekuja kuonyesha kuwa wao sio wanyonge
Ujenzi wa hotel Mpya Ghana ...Kwa ubize wa mitambo na ukubwa wa eneo la mradi ..hii sio hotel ndogo [emoji116][emoji116].
Ndo wako underground..Kwa watakao kuwepo mwanza.. endeleeni kufatilia hii site kama mlivyofatilia royal hospital [emoji867]
IMG_20221206_153140_820.jpg
 
Baada ya kuwasema sana watu wa Kagera.kuhusu investment mwanza..naona wamekuja kuonyesha kuwa wao sio wanyonge
Ujenzi wa hotel Mpya Ghana ...Kwa ubize wa mitambo na ukubwa wa eneo la mradi ..hii sio hotel ndogo [emoji116][emoji116].
Ndo wako underground..Kwa watakao kuwepo mwanza.. endeleeni kufatilia hii site kama mlivyofatilia royal hospital [emoji867]View attachment 2437930
Safi sana aese!
 
Ukiangalia picha hizi ndio utakubaliana na Mimi kwenye zile cases mbili nilizosema:

- Viwanja vya wazi vilivyoachwa tu ( Tena afadhali kwa hapo mtu ameomba kulima). Viwanja vya aina hiyo ni vingi sana maeneo ya Jiji.

- Pili, check aina ya majumba ya mitaa na aina ya barabara za mitaa inayoelekea mitaa hiyo. Luckily, Njia hiyo haina mwinuko kidogo au mteremko, otherwise Njia ingegeuka mabonde.
 
Ghana inakuja kwa kasi ya 5G
 
Uwepo wa viwanja sio tatizo...ni jambo jema ... maeneo hayo ya mahina , viwanja vimechukukiwa na watu wenye pesa ...na Mara nyingi Huwa hawajengi hovyo hovyo ... ukiangalia hapo walipolima Kuna nguzo na beacon kumaanisha ni eneo la mtu na muda wowote atajenge ...
Point ya msingi useme barabara ni mbovu .. serikali imepasahau ..
 
Mikdde umetisha zaidi ya simba wa mbuga serengeti, sio kuzunguka huko asee na kutupatia updates.
Ubarikiwe sana πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Mikdde umetisha zaidi ya simba wa mbuga serengeti, sio kuzunguka huko asee na kutupatia updates.
Ubarikiwe sana [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Kesho narudi kahama..... kazi kwenu mnaobaki kutupa update
 
Nimepita mitaa ya rwegasore na Lumumba...japo sijafanikiwa kupiga picha ila nimefurahi kuona jengo alilopost Kitombile pale Lumumba liko floor ya Saba ..na mafundi wako busy ...
Kuna jengo jipya limeanza kujengwa mitaa ya rwegasore...Kwa mtazamo wa zile nguzo na ukubwa site jengo linaweza kuwa at least 8 floor au above ...
uwekezaji wa vunjabei na frank knows unapafanya Lumumba iwe fashion town ya mwanza...
NB ..Nilipiga Kwa woga hiki kibao client haonekani .ila project ni jengo la biashara na residential apartment....[emoji116]
IMG_20221206_172933_977.jpg
 
Hapo karibu na kona ya mwaloni nera upande wa kulia kuna ujenz wa gorofa watu wanapiga kaz sana had uck nafkr litakuwa jengo kubwa
Hilo jengo nimeliona ..sijataka hata kulipiga picha ...wako first floor...ni hotel Kwa mujibu wa description ya Mradi kwenye kibao.... nimeangalia ukubwa wa site ..sioni kama litazidi floor Tano ......
 
Kabla hujarudi kahama huko, tunaomba uhamkie machinga complex na soko kuu la mjini kati hakika utabarikiwa kamanda.
Wewe unauthubutu aseeπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
Kesho narudi kahama..... kazi kwenu mnaobaki kutupa update
 
Nimekosa mud kaka .... tuombe walioko mwanza waendelee kutupa update
Jitaidi mkuu upige picha ata machinga complex ndio uondoke, cha kufanya amka asubuhi sana uende hapo mchafu koge kamanda then mida unapanda basi kutimkia kahama🀝🀝🀝🀝
 
Hilo jengo nimeliona ..sijataka hata kulipiga picha ...wako first floor...ni hotel Kwa mujibu wa description ya Mradi kwenye kibao.... nimeangalia ukubwa wa site ..sioni kama litazidi floor Tano ......
Unaweza kupachukulia poa kumbe ni floor 15+ 😁😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom