Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Hayo mabati yaliyochakaa yanatakiwa yabomolewee zijengwe scraper,kuna vijumba vingi Sanaa ndani ya CBD vimejichokeaaa vnaharbu jiji
Ayo maeneo zipandwe bustani natamani katikati ya jiji kuwepo na Park nyingi. Nmeangalia ujenzi wa Maghorofa Mwanza ni mfumo wa miji mingi India ya Ghorofa linajengwa no space for parking no space for garden yaan ovyoovyo style
 
Tatizo ni mipango miji ya zamani, plot za 15x30 mjini???? Miaka hiyo
 
Musabe,Buhongwa Mwanza ni kuzuriiii
 
Attachments

  • rickrealestatetz-20221208-0009.jpg
    rickrealestatetz-20221208-0009.jpg
    318.3 KB · Views: 18
  • rickrealestatetz-20221208-0002.jpg
    rickrealestatetz-20221208-0002.jpg
    290 KB · Views: 16
  • rickrealestatetz-20221208-0001.jpg
    rickrealestatetz-20221208-0001.jpg
    219.4 KB · Views: 16
  • rickrealestatetz-20221208-0003.jpg
    rickrealestatetz-20221208-0003.jpg
    368 KB · Views: 16
  • rickrealestatetz-20221208-0004.jpg
    rickrealestatetz-20221208-0004.jpg
    305.9 KB · Views: 15
  • rickrealestatetz-20221208-0005.jpg
    rickrealestatetz-20221208-0005.jpg
    295.2 KB · Views: 15
  • rickrealestatetz-20221208-0006.jpg
    rickrealestatetz-20221208-0006.jpg
    279.9 KB · Views: 15
  • rickrealestatetz-20221208-0008.jpg
    rickrealestatetz-20221208-0008.jpg
    288.2 KB · Views: 18
  • rickrealestatetz-20221208-0007.jpg
    rickrealestatetz-20221208-0007.jpg
    339.3 KB · Views: 20
Ayo maeneo zipandwe bustani natamani katikati ya jiji kuwepo na Park nyingi. Nmeangalia ujenzi wa Maghorofa Mwanza ni mfumo wa miji mingi India ya Ghorofa linajengwa no space for parking no space for garden yaan ovyoovyo style
Kuna siku nilishawahi kusema tunajenga mji kishamba, kwa nini isiwe sheria Ukijenga, ujenge na parking
 
Mwaka 2023 mwanzon utakuwa wa kishindo mwanza Raisi ataiagiza wizara ya ujenzi uipanue barabara ya kenyata njia nne atawaambia msiishie kenyata mpanue na barabara ya nyerere mnasubir daraja liishe magari yaongezeke msongamano uwe mkubwa
Mzee hizi za ndani sana kaka
 
Mwaka 2023 mwanzon utakuwa wa kishindo mwanza Raisi ataiagiza wizara ya ujenzi uipanue barabara ya kenyata njia nne atawaambia msiishie kenyata mpanue na barabara ya nyerere mnasubir daraja liishe magari yaongezeke msongamano uwe mkubwa
Mr intelligent man raisi anakuja lini kufungua stendi?
 
Jana kwny mkutano wa ccm kila mkoa ulikuwa unatoa changamoto za mkoa wake mzungumzaj wa mkoa wa mwanza kwny changamoto zote kazungumzia changamoto kuu 2 za mwanzo
1.upanuz wa barabara njia nne kutoka mjn had misungwi
2.upanuz wa njia nne kutoka mjini had magu
3.ujenzi wa daraja la rugezi linalounganisha ukerewe
4.kero za machinga pale makoroboi pajengwe miundombinu ya kisasa
5.barabara ya magu had hungumalwa
 
Kwa hiyo walipoongea ukajua tayari, huwajui ccm wewe.
Airport tu hiyo hapo imetelekezwa
 
Jana kwny mkutano wa ccm kila mkoa ulikuwa unatoa changamoto za mkoa wake mzungumzaj wa mkoa wa mwanza kwny changamoto zote kazungumzia changamoto kuu 2 za mwanzo
1.upanuz wa barabara njia nne kutoka mjn had misungwi
2.upanuz wa njia nne kutoka mjini had magu
3.ujenzi wa daraja la rugezi linalounganisha ukerewe
4.kero za machinga pale makoroboi pajengwe miundombinu ya kisasa
5.barabara ya magu had hungumalwa
Hii Rugezi inaunganisha Bunda na Ukerewe sio?
 
Back
Top Bottom