Busan
JF-Expert Member
- Aug 19, 2022
- 644
- 736
Ayo maeneo zipandwe bustani natamani katikati ya jiji kuwepo na Park nyingi. Nmeangalia ujenzi wa Maghorofa Mwanza ni mfumo wa miji mingi India ya Ghorofa linajengwa no space for parking no space for garden yaan ovyoovyo styleHayo mabati yaliyochakaa yanatakiwa yabomolewee zijengwe scraper,kuna vijumba vingi Sanaa ndani ya CBD vimejichokeaaa vnaharbu jiji