ππππ shukrani sana![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Safi sana Ghana imebadilika sana kwa kweli!
Kuna mhaya mmoja anaongeza dude hapo ...navyojua sifa za wahaya ... sidhani kama itakuwa chini ya floor 10 [emoji28]Safi sana Ghana imebadilika sana kwa kweli!
Madude ndo tunayataka hili ni jiji la kanda ya ziwa hakuna tatizo!πππKuna mhaya mmoja anaongeza dude hapo ...navyojua sifa za wahaya ... sidhani kama itakuwa chini ya floor 10 [emoji28]
Safi sana aese!Baada ya kuwasema sana watu wa Kagera.kuhusu investment mwanza..naona wamekuja kuonyesha kuwa wao sio wanyonge
Ujenzi wa hotel Mpya Ghana ...Kwa ubize wa mitambo na ukubwa wa eneo la mradi ..hii sio hotel ndogo [emoji116][emoji116].
Ndo wako underground..Kwa watakao kuwepo mwanza.. endeleeni kufatilia hii site kama mlivyofatilia royal hospital [emoji867]View attachment 2437930
Ukiangalia picha hizi ndio utakubaliana na Mimi kwenye zile cases mbili nilizosema:Mitaa ya mahina ...kama unaelekea mahina kati ..unapotoka mwananchi na Temeke nyakato [emoji116][emoji116][emoji91]View attachment 2437880View attachment 2437881View attachment 2437882View attachment 2437883View attachment 2437884View attachment 2437885View attachment 2437886
Ghana inakuja kwa kasi ya 5GBaada ya kuwasema sana watu wa Kagera.kuhusu investment mwanza..naona wamekuja kuonyesha kuwa wao sio wanyonge
Ujenzi wa hotel Mpya Ghana ...Kwa ubize wa mitambo na ukubwa wa eneo la mradi ..hii sio hotel ndogo [emoji116][emoji116].
Ndo wako underground..Kwa watakao kuwepo mwanza.. endeleeni kufatilia hii site kama mlivyofatilia royal hospital [emoji867]View attachment 2437930
Safi sn asee.Kuna mhaya mmoja anaongeza dude hapo ...navyojua sifa za wahaya ... sidhani kama itakuwa chini ya floor 10 [emoji28]
Uwepo wa viwanja sio tatizo...ni jambo jema ... maeneo hayo ya mahina , viwanja vimechukukiwa na watu wenye pesa ...na Mara nyingi Huwa hawajengi hovyo hovyo ... ukiangalia hapo walipolima Kuna nguzo na beacon kumaanisha ni eneo la mtu na muda wowote atajenge ...Ukiangalia picha hizi ndio utakubaliana na Mimi kwenye zile cases mbili nilizosema:
- Viwanja vya wazi vilivyoachwa tu ( Tena afadhali kwa hapo mtu ameomba kulima). Viwanja vya aina hiyo ni vingi sana maeneo ya Jiji.
- Pili, check aina ya majumba ya mitaa na aina ya barabara za mitaa inayoelekea mitaa hiyo. Luckily, Njia hiyo haina mwinuko kidogo au mteremko, otherwise Njia ingegeuka mabonde.
Kesho narudi kahama..... kazi kwenu mnaobaki kutupa updateMikdde umetisha zaidi ya simba wa mbuga serengeti, sio kuzunguka huko asee na kutupatia updates.
Ubarikiwe sana [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Nimekosa mud kaka .... tuombe walioko mwanza waendelee kutupa updateTembelea na Machinga complex
Hilo jengo nimeliona ..sijataka hata kulipiga picha ...wako first floor...ni hotel Kwa mujibu wa description ya Mradi kwenye kibao.... nimeangalia ukubwa wa site ..sioni kama litazidi floor Tano ......Hapo karibu na kona ya mwaloni nera upande wa kulia kuna ujenz wa gorofa watu wanapiga kaz sana had uck nafkr litakuwa jengo kubwa
Kesho narudi kahama..... kazi kwenu mnaobaki kutupa update
Jitaidi mkuu upige picha ata machinga complex ndio uondoke, cha kufanya amka asubuhi sana uende hapo mchafu koge kamanda then mida unapanda basi kutimkia kahamaπ€π€π€π€Nimekosa mud kaka .... tuombe walioko mwanza waendelee kutupa update
Unaweza kupachukulia poa kumbe ni floor 15+ πππππHilo jengo nimeliona ..sijataka hata kulipiga picha ...wako first floor...ni hotel Kwa mujibu wa description ya Mradi kwenye kibao.... nimeangalia ukubwa wa site ..sioni kama litazidi floor Tano ......