Cha asubuhi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 1,549
- 2,279
Kwa sasa nipo huku igelegele[emoji3] nikirudi nyasaka mtapata picha za kishua, kesho nikipata mda nitaenda mahina mwananchi hadi kakebe tatizo la uku wahuni wengi sana milimani[emoji3] wakiona simu ninayotumia dauuh[emoji28][emoji28][emoji28]mitaa yako ya uswazi tu [emoji28][emoji28][emoji28]
Noma sanaMitaa yangu hii ...mahina relini hapo
Daah kwa mbali napaona Butimba Day sec school miaka 11 iliyopita nilihitimu hapoMkuyuni.... mwanza ni jiji lenye view kali sana mipango ni zeroView attachment 2440861View attachment 2440862View attachment 2440863
Noma sana .big up bro..tuna appreciate Kwa chochote utakachotupa ...pamoja sana kaka .[emoji106]Kwa sasa nipo huku igelegele[emoji3] nikirudi nyasaka mtapata picha za kishua, kesho nikipata mda nitaenda mahina mwananchi hadi kakebe tatizo la uku wahuni wengi sana milimani[emoji3] wakiona simu ninayotumia dauuh
Kama hizo picha za mkuyuni ilinipasa nipande milima kwa juu kabisa ili nipate kichupa cha moto
Ulikuwa mtaa wa amani kilima Cha butimba karibu na shule ya msingi bila shaka.Kwa sasa nipo huku igelegele[emoji3] nikirudi nyasaka mtapata picha za kishua, kesho nikipata mda nitaenda mahina mwananchi hadi kakebe tatizo la uku wahuni wengi sana milimani[emoji3] wakiona simu ninayotumia dauuh
Kama hizo picha za mkuyuni ilinipasa nipande milima kwa juu kabisa ili nipate kichupa cha moto
Form four Mimi now 17 years tangu nimalize dadekiDaah kwa mbali napaona Butimba Day sec school miaka 11 iliyopita nilihitimu hapo
Kamera iko poa sana, sema unatuletea uswazi mno tafuta angle za maana halafu kinjuka nazoNoma sana
Shikamoo BrazaForm four Mimi now 17 years tangu nimalize dadeki
Mzigo bado unagundi za foil π π π πTupumzike kidogo kuhusu majengo na miradi mbalimbali ndani ya jiji na mkoa wa Mwanza kwa ujumla, chuma hicho kwa BMC toka kiwandaniView attachment 2441243View attachment 2441244
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Shikamoo Braza
Ule mradi wa jengo la 15f Bugando uliishia wapiTupumzike kidogo kuhusu majengo na miradi mbalimbali ndani ya jiji na mkoa wa Mwanza kwa ujumla, chuma hicho kwa BMC toka kiwandaniView attachment 2441243View attachment 2441244
Zibatafutwa Pesa mkuu sijui nilisoma wapi ila mradi bado upo na Bugando wanatafuta Pesa ishushwe Cardiac InstituteUle mradi wa jengo la 15f Bugando uliishia wapi
Kule Isela?Ule mradi wa jengo la 15f Bugando uliishia wapi
Mzigo unasimama hapo hapo Bugarika/ Bugando. Jamaa wana maeneo mengi tu Mwanza sema ina mipango mingine. Mfano Ibanda wanaeneo la mlimani linatambaa mpaka ziwani, bado Bugando Beach, Hapo Isela na penyewe nasikia wanataka kuweka campus ya CUHAS.Kule Isela?