Cha asubuhi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 1,549
- 2,279
Kwa sasa nipo huku igelegele[emoji3] nikirudi nyasaka mtapata picha za kishua, kesho nikipata mda nitaenda mahina mwananchi hadi kakebe tatizo la uku wahuni wengi sana milimani[emoji3] wakiona simu ninayotumia dauuh[emoji28][emoji28][emoji28]mitaa yako ya uswazi tu [emoji28][emoji28][emoji28]
Kama hizo picha za mkuyuni ilinipasa nipande milima kwa juu kabisa ili nipate kichupa cha moto