Mwanza City: The Photo Gallery

Hiki kipande kimechukua nyakato yote, buzuruga, sehemu kidogo za nyasaka ,na maeneo ya mahina ...kinalingana ukubwa na manispaa za iringa, shinyanga,singida ,Moshi n.k[emoji120][emoji16]
[emoji1][emoji1] hizo picha nimezipiga mida ya 6 jioni, mwenyeji wangu alitaka mlima mmoja wa mahina hapo nilikua nachukua hadi machinjioni kwa uzuri kabisa mda ukawa umeniacha

Mwanza ni jiji kubwa sana
 
[emoji1][emoji1] hizo picha nimezipiga mida ya 6 jioni, mwenyeji wangu alitaka mlima mmoja wa mahina hapo nilikua nachukua hadi machinjioni kwa uzuri kabisa mda ukawa umeniacha

Mwanza ni jiji kubwa sana
Pamoja sana blood
 
Please brother,,,kama hutajali naomba uende Ghana pale ,,,kapande hata daraja la furahisha au mlimani piga view ya pale camera yako italitendea haki like eneo [emoji28][emoji1666][emoji120]
Kupata view ya kirumba sio kazi ngumu hata kidogo nipe siku nne tu

Maeneo yatakayo fuatia ni..
Bwiru[emoji3] nishapata sehemu nzuri kabisa

Busweru [emoji3] Kuna sehemu ukiwa mlima wa kaangae unaichukua yote na Maeneo ya nyamadoke

Nyasaka ukiwa mlima wa nyashana kwa wapasua mawe unapata view ya nyasaka na maduka tisa

Kilimahewa,nyamhongoro,shamaliwa,nyegezi na mkolani

Nikimaliza kupiga picha za juu nitaanza kupiga za chini nyumba mbili tatu kama kawaida
 
View ya nyegezi,hasa Majengo mapya itakuwa Kali sana ,,,,, buswelu, nyamhongolo, ilemela upande wa malaika .Kuna picha zilipigwa na laizerg zilikuwa Kali sana japo alipiga frontal na oblique view .ukipata aerial yake au high oblique itakuwa Bomba sana eneo Hilo la ilemela
 
Sana mkuu
 
Mipango miji wetu ni 4m4 failure haiwezekani wanaruhusu watu wajenge near viwanadaa kama hilo eneo ni potential kwanini wasilipange, Sasa kunaulazima wakuanzisha Kisesa Municipal
Maeneo yamepangwa ila ni ubishi tu wa watu ...
 
Kwann umesema hivyo
Yaani waliopewa mamlaka ya kusimamia upangaji miji hawasimamii. kwasababu kama mtu anajenga nje ya utaratibu Nyumba yake inaondolew, unafkr wangeondoa Nyumba kadhaa watu wangeendelea kpindisha sheria?
 
Yaani waliopewa mamlaka ya kusimamia upangaji miji hawasimamii. kwasababu kama mtu anajenga nje ya utaratibu Nyumba yake inaondolew, unafkr wangeondoa Nyumba kadhaa watu wangeendelea kpindisha sheria?
Kaka Naunga mkono, nilishawahi kusema wakiona nyumba zinabomolewa watafuata utaratibu.
 
Jaman mbona naona kas ya soko kuu ni ndogo je litaisha mwez wa 3 kama ilivyopangwa?
Tukuulize wewe, maana una imani kubwa na huu uongozi, Wengine tulushakata tamaa hata tukiona bado wanajenga ingawa taratibu Tunashukuru Mungu.
Awamu hii sahau kabisa mambo ya kuisha kwa wakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…