Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,200
- 5,879
Oh saw sawa....sema igoma Ina jina kubwa .inabeba Hadi maeneo ya jirani ..hapo kwenye hyo garage Kuna nmb .lakini imeandikwa igoma branch..the same pale kiwanda Cha coca .ni nyakato lakin CRDB wameandika igoma branchShamaliwa inaanzia usawa wa ilipp garage ya cola cola mitimirefu hadi pale tandabui kwenda uko ndani
Kifupi Shamaliwa ipo mpakani kati ya igoma na kishiri