Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Bado mipango miji wanafeli sana. Nyumba ni Kali sana ila haziko kwenye mpangilio
Hapo ni view tu na angle ya upigaji hizo nyumba zipo planne na kuna barabara sehemu zote zinazotakiwa na zipo kwenye mistari ningepata drone camera ndio ungejionea zilivyo safi asee, mipango miji ilemela wapo vizuri sana.
 
Lakin kangae Kuna mpangilio sema barabara ni mbovu .... maeneo hayo yalishapimwa kitambo tu ..
Barabara ya kangaye kutoka mecco wameweka barabara ya zege ikaishia njiani, lakini barabara nzima ni ya changarawe na imejengewa mifereji.
 
Pako vizuri sana tatizo sina drone camera huko cbe, kangaye majengo mapya, nsumba, zenze ni balaaa, tatizo ni barabara za lami
Mi nachojua , maeneo ambayo yamejengwa bila mpangilio
Igogo, mkuyuni,butimba, mabatini, kirumba (milimani),nyamanoro,na kilimahewa, bugarika.....

Maeneo mengine ambayo yanajengwa bila plan ni kishiri,
 
Hayo maeneo yote uliyotaja kutoa kilimahewa yapo nyamagana, me nataka kukuambia kuwa Ilemela wapo vizuri kimakazi, barabara na miundombinu.
 
Barabara ya kangaye kutoka mecco wameweka barabara ya zege ikaishia njiani, lakini barabara nzima ni ya changarawe na imejengewa mifereji.
naomba utembelee kiseke... kiseke kipind Cha zamani ilikuwa maarufu sana kati ya mitaa yenye nyumba classic lakin mbona siku hizi haitajwi sana ... NB sijawahi fika kiseke Toka nizaliwe Huwa napasikia tu
 
Hayo maeneo yote uliyotaja kutoa kilimahewa yapo nyamagana, me nataka kukuambia kuwa Ilemela wapo vizuri kimakazi, barabara na miundombinu.
Nyamanoro,na kirumba huioni hapo [emoji867][emoji16]
 
naomba utembelee kiseke... kiseke kipind Cha zamani ilikuwa maarufu sana kati ya mitaa yenye nyumba classic lakin mbona siku hizi haitajwi sana ... NB sijawahi fika kiseke Toka nizaliwe Huwa napasikia tu
Nyasaka inakaa kwa kiseke
 
Na kishiri mkuu
Kishiri ndo eneo unapata Hadi viwanja vya laki 5 .Kila mwenye pesa ndogo anakimbilia viwanja huko hata 20 *15 ..then Kila mtu anajenga anavyojisikia , japokuwa hata nyumba Kali zipo .ila kama wasipoangalia patakuwa hovyo sana
 
naomba utembelee kiseke... kiseke kipind Cha zamani ilikuwa maarufu sana kati ya mitaa yenye nyumba classic lakin mbona siku hizi haitajwi sana ... NB sijawahi fika kiseke Toka nizaliwe Huwa napasikia tu
Kiseke wamejenga sana tena sana, pia panataka kufanana na nyasaka.
 
Back
Top Bottom