Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Mbona bwiru umeirusha mbali sana mkuu kwanini naomba facts hapa kwa bwiru kwani me najua bwiru na capripoint zinakimbizana ata mijengo mingi ya ghorofa na mandhari safi ya ziwa.
Bwiru nimeirusha mbali Kwa sababu hii[emoji116]
Sioni
barabara nzuri.
Ukuaji wake sio active sana
Ni padogo
IMG-20221106-WA0012.jpg
 
Bwiru nimeirusha mbali Kwa sababu hii[emoji116]
Sioni
barabara nzuri.
Ukuaji wake sio active sana
Ni padogoView attachment 2452576
Bwiru ni kubwa sana mkuu na watu hawajengi nyumba za kawaida pia kunabarabara ya lami ipo hapo breweries na inaenda kuungana na ya bwiru misufini kupitia maeneo ya chuo cha mipango, nakubaliana na ishu ya barabara lakini kimajengo bwiru ni mdeadly.
 
Sijasema bwiru ni pabovu .. bwiru ni eneo zuri tu .ila kwenye rank nimeliweka namba 4 Kwa sababu,nimeangalia vigezo hivi
1 Ukuaji (Hali ya ujenzi wa Majengo.. bwiru uko chini ukilinganisha na isamilo, capripoint,)
2 uwekezaji wa taasisi,na Majengo ya huduma kama hotel nk (nitajie hotel Kali iliyopo bwiru)
3 barabara
4 huduma za usafiri
 
Mwananchi si level ya bwiru akashindane kwanza na nyasaka then aende kwa wakina isamilo then aje battling na Bwiru.
Mwananchi sio eneo la kutania Kuna Matycoon wa kikurya wamejenga apartment zao huko ..NB kisire na batco na mijengo Yao hapo
 
Mwananchi sio eneo la kutania Kuna Matycoon wa kikurya wamejenga apartment zao huko ..NB kisire na batco na mijengo Yao hapo
Unasemea bwiru ipi rafiki yangu ili nijue, kama unaijua bwiru😁😁😁😁😁
 
Mwanza baada ya Capri point ni Bwiru, Ilemela na Isamilo ndio wanakuja akina Mwananchi na Nyansaka/ Kiseke
The place to watch out now ni Kirumba Ibanda
Mikkde haipendi bwiru, bwiru kwa sasa ndio eneo pekee linaloweza shindana na capripoint, mengine bado sana
 
Mikkde haipendi bwiru, bwiru kwa sasa ndio eneo pekee linaloweza shindana na capripoint, mengine bado sana
Ukweli ndio huu miji mingi Mwanza haziwezi kuonesha mabavu kwa capripoint lakini bwiru pekee ndio mji bora unaoweza kushindana au ata kuizid capripoint.
 
kuna maeneo ukienda kwenye jiji la dar yanatoa hadi harufu mtaani, jiji la hovyo,ustaarabu hovyo..Dar wanaokula maisha wachache sana na inahitaji pesa mingi sana kuishi kama mbele.
Lile jiji Wamelipanua sana, Africa jiji linasambaa lakin Majiji ya Wenzetu hayasambai bali wanajenga Vertical City, Ivo kuweka miundombinu Dar ni sawa na Buree
 
Back
Top Bottom