MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,928
- 8,976
HaifahamikiKwann sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HaifahamikiKwann sasa
Siku mkianza kutiririshiwa maji ya viwandani ndio mtajuaPale palipo kiwanda kinachojengwa cha nyakato steel nyanguge nyumba zinafumuka kwa Kasi Sana aisee
Nimependa camera yako kaka ...Iko poa sana ...na hizo view,,zitasaidia sana kwenye battle zetu[emoji120][emoji120][emoji120]
Hiki kipande kimechukua nyakato yote, buzuruga, sehemu kidogo za nyasaka ,na maeneo ya mahina ...kinalingana ukubwa na manispaa za iringa, shinyanga,singida ,Moshi n.k[emoji120][emoji16]
Please brother,,,kama hutajali naomba uende Ghana pale ,,,kapande hata daraja la furahisha au mlimani piga view ya pale camera yako italitendea haki like eneo [emoji28][emoji1666][emoji120]Safi umeupiga mwingi, view Kali sana
Pamoja sanaNimependa camera yako kaka ...Iko poa sana ...na hizo view,,zitasaidia sana kwenye battle zetu[emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji1][emoji1] hizo picha nimezipiga mida ya 6 jioni, mwenyeji wangu alitaka mlima mmoja wa mahina hapo nilikua nachukua hadi machinjioni kwa uzuri kabisa mda ukawa umeniachaHiki kipande kimechukua nyakato yote, buzuruga, sehemu kidogo za nyasaka ,na maeneo ya mahina ...kinalingana ukubwa na manispaa za iringa, shinyanga,singida ,Moshi n.k[emoji120][emoji16]
Pamoja sana blood[emoji1][emoji1] hizo picha nimezipiga mida ya 6 jioni, mwenyeji wangu alitaka mlima mmoja wa mahina hapo nilikua nachukua hadi machinjioni kwa uzuri kabisa mda ukawa umeniacha
Mwanza ni jiji kubwa sana
Kupata view ya kirumba sio kazi ngumu hata kidogo nipe siku nne tuPlease brother,,,kama hutajali naomba uende Ghana pale ,,,kapande hata daraja la furahisha au mlimani piga view ya pale camera yako italitendea haki like eneo [emoji28][emoji1666][emoji120]
View ya nyegezi,hasa Majengo mapya itakuwa Kali sana ,,,,, buswelu, nyamhongolo, ilemela upande wa malaika .Kuna picha zilipigwa na laizerg zilikuwa Kali sana japo alipiga frontal na oblique view .ukipata aerial yake au high oblique itakuwa Bomba sana eneo Hilo la ilemelaKupata view ya kirumba sio kazi ngumu hata kidogo nipe siku nne tu
Maeneo yatakayo fuatia ni..
Bwiru[emoji3] nishapata sehemu nzuri kabisa
Busweru [emoji3] Kuna sehemu ukiwa mlima wa kaangae unaichukua yote na Maeneo ya nyamadoke
Nyasaka ukiwa mlima wa nyashana kwa wapasua mawe unapata view ya nyasaka na maduka tisa
Kilimahewa,nyamhongoro,shamaliwa,nyegezi na mkolani
Nikimaliza kupiga picha za juu nitaanza kupiga za chini nyumba mbili tatu kama kawaida
Sana mkuuView ya nyegezi,hasa Majengo mapya itakuwa Kali sana ,,,,, buswelu, nyamhongolo, ilemela upande wa malaika .Kuna picha zilipigwa na laizerg zilikuwa Kali sana japo alipiga frontal na oblique view .ukipata aerial yake au high oblique itakuwa Bomba sana eneo Hilo la ilemela
Mipango miji wetu ni 4m4 failure haiwezekani wanaruhusu watu wajenge near viwanadaa kama hilo eneo ni potential kwanini wasilipange, Sasa kunaulazima wakuanzisha Kisesa MunicipalSiku mkianza kutiririshiwa maji ya viwandani ndio mtajua
Maeneo yamepangwa ila ni ubishi tu wa watu ...Mipango miji wetu ni 4m4 failure haiwezekani wanaruhusu watu wajenge near viwanadaa kama hilo eneo ni potential kwanini wasilipange, Sasa kunaulazima wakuanzisha Kisesa Municipal
Basi usimamizi siku za Usoni Ilemela itakua Bomba ya mjiMaeneo yamepangwa ila ni ubishi tu wa watu ...
Kwann umesema hivyoBasi usimamizi siku za Usoni Ilemela itakua Bomba ya mji
Yaani waliopewa mamlaka ya kusimamia upangaji miji hawasimamii. kwasababu kama mtu anajenga nje ya utaratibu Nyumba yake inaondolew, unafkr wangeondoa Nyumba kadhaa watu wangeendelea kpindisha sheria?Kwann umesema hivyo
Kaka Naunga mkono, nilishawahi kusema wakiona nyumba zinabomolewa watafuata utaratibu.Yaani waliopewa mamlaka ya kusimamia upangaji miji hawasimamii. kwasababu kama mtu anajenga nje ya utaratibu Nyumba yake inaondolew, unafkr wangeondoa Nyumba kadhaa watu wangeendelea kpindisha sheria?
Tukuulize wewe, maana una imani kubwa na huu uongozi, Wengine tulushakata tamaa hata tukiona bado wanajenga ingawa taratibu Tunashukuru Mungu.Jaman mbona naona kas ya soko kuu ni ndogo je litaisha mwez wa 3 kama ilivyopangwa?