Oh saw sawa....sema igoma Ina jina kubwa .inabeba Hadi maeneo ya jirani ..hapo kwenye hyo garage Kuna nmb .lakini imeandikwa igoma branch..the same pale kiwanda Cha coca .ni nyakato lakin CRDB wameandika igoma branchShamaliwa inaanzia usawa wa ilipp garage ya cola cola mitimirefu hadi pale tandabui kwenda uko ndani
Kifupi Shamaliwa ipo mpakani kati ya igoma na kishiri
Hii kitu itapendeza sana nasikia na Kishiri watajenga kubwa zaidi, tupieni na Ya MirongoKituo chenyewe ni hiki[emoji116][emoji867]
Shamaliwa inaanzia usawa wa ilipp garage ya cola cola mitimirefu hadi pale tandabui kwenda uko ndani
Kifupi Shamaliwa ipo mpakani kati ya igoma na kishiri
Mkuu unatumia kidole gani hicho? 🤣Kituo chenyewe ni hiki[emoji116][emoji867]
[emoji28][emoji28][emoji28]Mkuu unatumia kidole gani hicho? [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu unatumia kidole gani hicho? [emoji1787]
Good [emoji91][emoji91]
Duuuhw hii Oncology Department niliiacha ndio bado mabati tu wamezungusha
Hili jengo siamini kama litakuwa refu. Niliacha ndo wanachimba mashimo ya nguzo mwezi wa tisa
Hili jengo lipo wap na ni hotel au commercial buildingHili jengo siamini kama litakuwa refu. Niliacha ndo wanachimba mashimo ya nguzo mwezi wa tisa
Mtaa wa karutaHili jengo lipo wap na ni hotel au commercial building
Kangae CBE .hii Iko kata ya buswelu, nyakato au mecco?
Kata ya nyakato.Kangae CBE .hii Iko kata ya buswelu, nyakato au mecco?
Kesho nitapiga baadhi ya mitaa ya nyasaka na kangaye tena.Kata ya nyakato.
Bado mipango miji wanafeli sana. Nyumba ni Kali sana ila haziko kwenye mpangilio