Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Au nikusaidie [emoji28][emoji28][emoji16][emoji16][emoji116]..View attachment 2453982
Hujui nyamhongolo kijana, mimi naongelea nyamhongolo ya madon inayopakana na kanyerere kwenda hadi nyamadoke wewe unanileta nyamhongolo gani hio [emoji1]

Hio nyamhongolo jirani na stand watu wamehold maeneo ili waje wauze pesa ndefu mataita hapo huwapati tena ukisikia mtu anaizungumzia nyamhongolo kwenye akili yako toa hio picha
 
Ndo utuletee picha tuamini maneno yako ..mkono mtupu haulambwi[emoji16]
 
Mbona hata bwiru,na isamilo na kwenyewe Kuna wakulungwa wa kutosha .kule juu
Lakini mlima wa bwiru hauna makazi ya watu ni kama ule wa kwa mkuu wa mkoa kuna mandhari safi sana kule bwiru, ni sauti za ndege na mawimbi ya ziwa huku ukitalii kwenye mapalace na mansion ya kutisha.
 
Kwa Nyasaka ninachojua inaongoza kwa kua na nyumba nyingi chenye fensi[emoji1] tena kama mtaa nyamuge,kanisani,mtaa wa hbaba[emoji1],sokoni hadi upendo aiseee ni[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95] kwa mwanza hii sizani kama kuna sehemu yenye nyumba nyingi zenye fensi kama Nyasaka
 
Naona umeanza kuja na style ya intelligent man ..more description more story[emoji16]....
 
Back
Top Bottom