Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Lakini mlima wa bwiru hauna makazi ya watu ni kama ule wa kwa mkuu wa mkoa kuna mandhari safi sana kule bwiru, ni sauti za ndege na mawimbi ya ziwa huku ukitalii kwenye mapalace na mansion ya kutisha.
Nikijaa February,,nitapita Tena bwiru,,,,nijiaminishe ..maana siku Ile nilipita mipango pale kuelekea breweries.sikuenjoy
 
Au nikusaidie [emoji28][emoji28][emoji16][emoji16][emoji116]..View attachment 2453982
Hii sio nyamhongolo bali ni eneo la stendi ya nyamhongolo ambako kuna maeneo bado yameshikwa kwaajili ya kuuzwa na pia halmashauri imehold baadhi ya maeneo kwa uwekezaji, tunaongelea nyamhongolo residential area ipo ndani huko kwenye barabara inayoenda nyamadoke huko kuna kufuru sio za nchi hii lakini kwa picha hii kwa kweli inakudanganya.
 
[emoji16][emoji16]..sasa kama viwanja kule bei ndogo Kwanni wasinunue ...inabidi matycoon waanze kununua hyo milima ,,wafanye kama ilivyo Kampala . milimani ndo Kuna mataita ..
Ni mwanza na Rio de Janeiro ndo maskini wanajenga milimani,
Leo nimemwandikia Mabula kwenye instagram, kwamba wailinde milima, mfano Igogo ina View nzuri ya ziwa, ila tajiri yupi atajenga nyumba pale huku kazungukwa na slums, ndio maana tunatafuta mwekezaji wa jumla ambapo ni ngumu kumpata, njia rahisi ni kuondoa hao watu then unauza hilo eneo kwa matajiri
 
Angelina au hyu stanslaus?
 
Nikijaa February,,nitapita Tena bwiru,,,,nijiaminishe ..maana siku Ile nilipita mipango pale kuelekea breweries.sikuenjoy
Mkuu pita njia kama unaenda kanisa la bwiru ambapo wanajenga kanisa kubwa sana maeneo la ghorofa tatu, pia tafuta barabara ya kuingia lami ya breweries.
 
Nitafanya hivyo Boss....naamini Toka 2019 nilivyopita Leo kutakuwa na mabadiliko..
 
Nikijaa February,,nitapita Tena bwiru,,,,nijiaminishe ..maana siku Ile nilipita mipango pale kuelekea breweries.sikuenjoy
_20220620_235059.JPG

Mlima wa bwiru ni huu kwa mbali kule
 
Atakuwa stanslaus mabula coz Ilemela haina maslum kama ya igogo na mabatini.
Pro ilemela,,hamwishiwi maelezo...hyo mada tushaifunga muda tu .. ukisema hvyo ,, nyamagana mbona poshy neighborhood nyingi na hairingi ..refer to
Capripoint, isamilo, majengo mapya, mwananchi,..
 
Nitafanya hivyo Boss....naamini Toka 2019 nilivyopita Leo kutakuwa na mabadiliko..
Kule bwiru mwenyekiti wao na diwani wao na serikali ya bwiru ilishazuia ujenzi wa nyumba za kawaida huko lazim ujenge ghorofa, sio porojo na huu ndio ukweli kamanda wala sio blah blah.
 
Umefanya jambo jema ,,na kama unaweza kuandika project,,,unaweza andaa proposal na ukaiwasilisha Kwa mayor sima ...namna Gani tutaweza kuboresha mandhari na miundombinu ya makazi milimani
Mabula na Sima si marafiki.
Ila nimetoa wazo, kwa sasa kabla solution haijapatikana, itungwe sheria hao watu wa milimani wapande miti at least 5 kila familia, pia paa za nyumba zipakwe rangi, jiji wanaweza paka rangi kwa kuwachaji pesa kidogo
 
Kule bwiru mwenyekiti wao na diwani wao na serikali ya bwiru ilishazuia ujenzi wa nyumba za kawaida huko lazim ujenge ghorofa, sio porojo na huu ndio ukweli kamanda wala sio blah blah.
Kwani bwiru ni kata ya wapi . kitangiri au pasiansi?
 
Mabula na Sima si marafiki.
Ila nimetoa wazo, kwa sasa kabla solution haijapatikana, itungwe sheria hao watu wa milimani wapande miti at least 5 kila familia, pia paa za nyumba zipakwe rangi, jiji wanaweza paka rangi kwa kuwachaji pesa kidogo
Hii ya kupanda miti .sijui iliishia wapi ,, mkuu wa wilaya nilisikia anagawa miti 6000 Kila mtaa ..
 
Kule bwiru mwenyekiti wao na diwani wao na serikali ya bwiru ilishazuia ujenzi wa nyumba za kawaida huko lazim ujenge ghorofa, sio porojo na huu ndio ukweli kamanda wala sio blah blah.
Kwa nini madiwani na wenye viti wasisimamie na hili la milimani?
 
Back
Top Bottom