Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza
IMG-20230217-WA0025.jpg
 
Hapo bibi yangu yangu alishapalaani na patabaki hivyo hivyo, zamani kulikuwa na lodge ya bibi inaitwa gwakisandu..... Acha niishie hapa nidije kufahamika humu.
Nilisikia Lina mgogoro
 
[emoji28][emoji28][emoji28],,,, inabidi bibi asamehe bwana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hilo tuliuza wenyewe lakini pesa ni kama tulitapeliwa, na bibi aliuza lakn mama yake na bibi hakutaka, waliishia kupewa milion 35 kama sikosei japo nilikuwa mtoto mdogo sana wa darasa la pili au la kwanza kama sikosei.
 
Back
Top Bottom