Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Tanzania ipo tofauti sana miji ya nchi nyingine viongozi wamejaa ushamba wa hali juu, angalia kenya, Nairobi na mombasa ata kisumu hakuna tofauti, angalia msumbiji, maputo na beira hakuna utofauti, nenda Afrika kusini majiji yote yanalingana, nenda nchi za ulaya na miji yao nenda Asia na angalia ata America, huu upuuzi upo Tanzania tu wakidhani Tanzania ni Dar tu, wakiendelea kunyonya rasilimali za maeneo mengine kutengeneza jiji moja na CBD moja.
At least sasahivi mambo yanarundikwa kwenye majiji mawili Dodoma ndio kwanza inaanza ila tayari pameshakuwa vile, lile jiji ndani ya miaka 10 kutoka sasa litakuwa ni fire [emoji91][emoji91]
 
Kwa apartment na villa
bwiru,
Capripoint
Isamilo
Ilemela
Nyakato (mwananchi)
Kwa nyumba classic ila sio mansion
-nyasaka
-buswelu
-nyegezi (majengo
-nyamhongolo
-kiseke
Nawaomba mtembelee mtaa wa IBANDA kule kna plot ya BUGANDO nenden hko nazan ukiacha capripoint now inafata IBANDA Kwa mliofika kule mtanielewa ni kama ulaya ndogo
 
Usimsingizie Nyerere, alipokea nchi toka kwa wakoloni ikiwa hivyo hivyo, ukienda nchi kama Uingereza mitaa ya zamani barabara ni nyembamba ila wenzetu wakiona iko busy wanaigeuza kuwa one way.
Kaka za chini chini mm niliskia Kuna figisu kutoka juu kuwa itapiku airport ya dar,maana mwanza ni mkoa uko karibu na nchi za maziwa makuu kama UGANDA,KENYA,lakin pia nchi kama CONGO,RWANDA na BURUNDI na ukikamilika midenge mikubwa kutoka nchi hizo zote itashuka mwanza,,

Pia nakumbuka yule jamaa wa kiwanda Cha nondo pale nyakato aliwahigi kupigwa figisu kuwa ahamishie DAR.

JAMANI, hamuon matunda yapo mbeya ila viwanda vipo dar,,

Hayati alikuwa anaona mbali aligundua muwekezaji aktaka kuwekeza alikuwa anazungushwa balaa yaan anawekeza mwanza lakin ofisi inahusika na masuala ya uwekezaji ipo dar atazungushwa mwisho anaambiwa wekeza DAR tukupe kibali,, ndipo hayat alikataa na akamuru Kila mkoa pawe na ofisi Ili muwekezaji asihangaike,
 
Back
Top Bottom