Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Nishawahi wasiliana na jamaa mmoja kwenye hayo magroup,,, alikuwa anauza kiwanja laki Tano lakini baada ya siku moja akapandisha laki nane na laki 9...ukubwa 20*20 ...nilianza kuwaona waswahili

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi waswahili TU naona wanaweka hyo Bei kuvutia watu kumbe Bei Yao ni tofaut,mm nilijua ndo Bei Yao hyo 600000
 
Kwa wilaya ya Ilemela,
Vuka Busweru sogea sogea hadi Kahama, Isela na Ilalila. Barabara ni ya lami umeme upo karibu na kuna miradi ya maji inaendelea huko bei zinaanzia mil2.5 na kuendelea

Kwa wilaya ya Nyamagana,
Vuka Kishiri sogea sogea Kanindo, Fumagila na Sahwa. Barabara inajengwa ya lami na kuna miradi ya maji pia bei kuanzia mil2 na kuendelea

Kwa wilaya ya Magu,
Vuka Kisesa sogea sogea hadi Isangijo, Kitumba pia barabara ya kutoka Kisesa kuelekea Kayenze huko bado kuna maeneo makubwa sana yako wazi na watu wananunua sana bei bado ziko chini kwa sasa kuanzia laki 8 unapata kieneo chako,

NB,, Mimi sio dalali wala sihusiki kuuza viwanja nimechangia kile ninachofahamu,,
Mkuu naweza kupata mawasiliano ya mtu atakayenusaidia kupata eneo mitaa ya Kisesa to Kayenze
 
Wadau baada ya kazi ni burudani kupoza roho tuwekeeni na viwanja murua vya kujirusha kwa Mwanza maeneo tofauti tofauti
Karibu maseti sports bar buhongwa
1676401283661.jpg
 
wakuu nimeona Leo Barabara ya Kenyatta from town nazan mpaka nyashishi wanaweka taa,

Lakin najiuliza mbona like jengo la NSSF Pale capripoint limesimama finishing muda kulikoni,pia jengo la kitana pale mwaloni kirumba nalo miaka inasonga hafany finishing,
Karibu anayejua Kwa ufafanuzi
 
Pia Leo nimepita mitaa ya mkuyuni nmeona KAZI ya ujenzi wa flyover ya (SGR) reli ya kisasa unaendelea na watu wamehamishwa sana
 
wakuu nimeona Leo Barabara ya Kenyatta from town nazan mpaka nyashishi wanaweka taa,

Lakin najiuliza mbona like jengo la NSSF Pale capripoint limesimama finishing muda kulikoni,pia jengo la kitana pale mwaloni kirumba nalo miaka inasonga hafany finishing,
Karibu anayejua Kwa ufafanuzi
Taa zinaishia mkolani ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom