Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,608
Hivi hapo sekoutoure kwa nini mnapenda kuua watu? Mnajijengea jina baya sana.Wana msisahau kuriport eneo la tukio MV Mwanza na video kutupia , ma Dr tuko sekoutule tunapig kaz
Ahsante kaka karibuHongera daktari!
Ndio mkuu tayarOya Dr Kanyamulano mmeshafunga CT scan hapo!?
picha nzuri sana
Aliyenunua amefirisika!Hivi lile jengo linatazamana na Kembice hotel mbona haliendelezwi?lina matofali kama ya kuchoma hivii refuuu
Aliyenunua amefirisika!
Hapo bibi yangu yangu alishapalaani na patabaki hivyo hivyo, zamani kulikuwa na lodge ya bibi inaitwa gwakisandu..... Acha niishie hapa nidije kufahamika humu.Si aliuze
Wanajenga wapi!?Underconstruction DIT, MWANZA
View attachment 2520940
Nilisikia Lina mgogoroHapo bibi yangu yangu alishapalaani na patabaki hivyo hivyo, zamani kulikuwa na lodge ya bibi inaitwa gwakisandu..... Acha niishie hapa nidije kufahamika humu.
[emoji28][emoji28][emoji28],,,, inabidi bibi asamehe bwanaHapo bibi yangu yangu alishapalaani na patabaki hivyo hivyo, zamani kulikuwa na lodge ya bibi inaitwa gwakisandu..... Acha niishie hapa nidije kufahamika humu.
Maeneo ya sabasaba palepale kwenye chuo chaoWanajenga wapi!?
Sitaki kusema sana kuhusu hiyo sehemu.Nilisikia Lina mgogoro
Mkuu hilo tuliuza wenyewe lakini pesa ni kama tulitapeliwa, na bibi aliuza lakn mama yake na bibi hakutaka, waliishia kupewa milion 35 kama sikosei japo nilikuwa mtoto mdogo sana wa darasa la pili au la kwanza kama sikosei.
Hili dude ni balaa, asante sana kwa hii picha.