Wewe huna uwezo wa kuelewa bila shakawe hujui kusoma bila shaka. hakuna mahala nimeandika Arusha
neno Arusha limetoka wapi kwenye huu uzi?Wewe huna uwezo wa kuelewa bila shaka
Hebu thibitisha kuwa sijui kusoma.
soma tena ulichoandika hapa. ktk nchi masikini zaidi Tanzania. sasa sijui Tanzania ni dunia/ulimwengu?. anyway I can't arque more with u, learn to understand before making a decision.Katika nchi Masikini zaidi Tanzania ni:-
-Mwanza
-Mtwara
- Singida
-Kagera na
- Lindi
Hayo aliyasema Waziri mapema wiki iliyopita.
Tanzania ni Nchi, hiyo ni mikoa masikini iliyopo ndani ya nchi ya Tanzania.soma tena ulichoandika hapa. ktk nchi masikini zaidi Tanzania. sasa sijui Tanzania ni dunia/ulimwengu?. anyway I can't arque more with u, learn to understand before making a decision.
basi heshimu uzi. threads za mkoa vs mkoa zipo kibao tafuta kapost huko dukuduku zako huku hazituhusu. hapa tunajochadili ni jiji la mwanza na si kingine. km ni mtanzanzia utakuwa umeelewa.Tanzania ni Nchi, hiyo ni mikoa masikini iliyopo ndani ya nchi ya Tanzania.
Tunajochadili [emoji117] Tunachojadilibasi heshimu uzi. threads za mkoa vs mkoa zipo kibao tafuta kapost huko dukuduku zako huku hazituhusu. hapa tunajochadili ni jiji la mwanza na si kingine. km ni mtanzanzia utakuwa umeelewa.
achana na mimi hujui kusoma wewe. ungekuwa unajua kusoma usingekurupuka kuleta mabishano yasiyo na tija mahala pasipokuhusu kufanya hivyo.Tunajochadili [emoji117] Tunachojadili
Unamix kisukuma na kiswahili?
Awesome!!View attachment 548278 View attachment 548279 View attachment 548280 View attachment 548282 View attachment 548283 mwanza intevetion trial unit (MITU) isamilo
katafute threads za mwanza vs arusha maana akili yako ndiko inakokutuma.Tunajochadili [emoji117] Tunachojadili
Unamix kisukuma na kiswahili?
Ukweli tupu!!!MWANZA MWANZAUkitoa dar hakuna jiji jingne la kuifunika mwanza hakuna cha Arusha wa mbeya hapo.mwanza IPO kwenye ramani nzuri tena ukichanganya na madhari yake ya milima ndio balaa kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimethibitisha kuwa wewe hujui kuandika, uthibitisho upo hapo juu [emoji115]a
achana na mimi hujui kusoma wewe. ungekuwa unajua kusoma usingekurupuka kuleta mabishano yasiyo na tija mahala pasipokuhusu kufanya hivyo.
Sio kweli,katafute threads za mwanza vs arusha maana akili yako ndiko inakokutuma.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]View attachment 553765 View attachment 553766 View attachment 553767 View attachment 553768 View attachment 553761 View attachment 553763 View attachment 553764 View attachment 553765
Ukiona ndondo cup inaletwa Mwanza badala ya mikoa mingine jiulize na ujijibu...na ukiona Efm wanakuja mwanza na kuacha unapopaaminia basi pigia mistari....karbuni Mwanza huko kwingine wazungu wanakuja kushangaa ngedere tu
Usibishane na akili ndogo mkuu,utaumiza kichwa bureeee....katafute threads za mwanza vs arusha maana akili yako ndiko inakokutuma.
Usihangaike na huyo form four failure...tupia picha mkuubasi heshimu uzi. threads za mkoa vs mkoa zipo kibao tafuta kapost huko dukuduku zako huku hazituhusu. hapa tunajochadili ni jiji la mwanza na si kingine. km ni mtanzanzia utakuwa umeelewa.