Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Katika nchi Masikini zaidi Tanzania ni:-

-Mwanza

-Mtwara

- Singida

-Kagera na

- Lindi

Hayo aliyasema Waziri mapema wiki iliyopita.
soma tena ulichoandika hapa. ktk nchi masikini zaidi Tanzania. sasa sijui Tanzania ni dunia/ulimwengu?. anyway I can't arque more with u, learn to understand before making a decision.
 
Tanzania ni Nchi, hiyo ni mikoa masikini iliyopo ndani ya nchi ya Tanzania.
 
DETuUGNXkAEHSOU.jpg
 
Tanzania ni Nchi, hiyo ni mikoa masikini iliyopo ndani ya nchi ya Tanzania.
basi heshimu uzi. threads za mkoa vs mkoa zipo kibao tafuta kapost huko dukuduku zako huku hazituhusu. hapa tunajochadili ni jiji la mwanza na si kingine. km ni mtanzanzia utakuwa umeelewa.
 
Tunajochadili [emoji117] Tunachojadili

Unamix kisukuma na kiswahili?
 
a
Tunajochadili [emoji117] Tunachojadili

Unamix kisukuma na kiswahili?
achana na mimi hujui kusoma wewe. ungekuwa unajua kusoma usingekurupuka kuleta mabishano yasiyo na tija mahala pasipokuhusu kufanya hivyo.
 
Mimi nimethibitisha kuwa wewe hujui kuandika, uthibitisho upo hapo juu [emoji115]

Ila wewe umeshindwa kuthibitisha kuwa mimi sijui kusoma.
 
View attachment 553765 View attachment 553766 View attachment 553767 View attachment 553768 View attachment 553761 View attachment 553763 View attachment 553764 View attachment 553765

Ukiona ndondo cup inaletwa Mwanza badala ya mikoa mingine jiulize na ujijibu...na ukiona Efm wanakuja mwanza na kuacha unapopaaminia basi pigia mistari....karbuni Mwanza huko kwingine wazungu wanakuja kushangaa ngedere tu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
basi heshimu uzi. threads za mkoa vs mkoa zipo kibao tafuta kapost huko dukuduku zako huku hazituhusu. hapa tunajochadili ni jiji la mwanza na si kingine. km ni mtanzanzia utakuwa umeelewa.
Usihangaike na huyo form four failure...tupia picha mkuu
 
Back
Top Bottom