Mwanza City: The Photo Gallery

Hii hawamu hii itakuumiza kichwa lile daraja la JPM huwa linawafanya watuchukie zaidi, Geita inaongoza kwa kuingizia serikali zaidi ya mapato ya bilion 600 kwa mwaka hakuna lakini hakuna chochote wanachofanyiwa, Mwanza kuna mgodi mkubwa unakuja wa Nyanzaga lakini utashangaa H/Q ikawa Dar, sijui hii serikali huwa inatuonaje?
Wanashindwa kupeleka umeme na kuunganisha kwa kaya za kanda ya ziwa na wanakuwa na mizunguko mingi sana kwetu, data zikija utasikia mikoa ya kanda ya ziwa zipo mkiani kwa kuwa na kaya chache zilizounganishiwa umeme na matumizi madogo ya umeme.
Kifupi serikali hii haiwatambui watu wa kanda ya ziwa.
 
Hakuna chuo kikuu cha serikali kanda yote ya ziwa, hakuna hospitali ya rufaa ya serikali kanda yote ya ziwa, hakuna kiwanja cha maana kanda yote ya ziwa, hakuna barabara za maana hata moja kanda yote ya ziwa na bado wanaendelea kutunyonya na kutuona wapumbavu.
 
No inabd tupige kelel hatuwez kukaa kimya kwen haya yanayoendelea tunaonekn mazwazwa na ndo Maan n rahis kufany ivo watu lake zone madiwani wazawa na wabunge should unite kupinga huu ujinga...kwann kitu kikitk kujengw lake zone wnapiga kelel wanakaa kimya kwann sis tusipige kelel wakaach wanachofny!!? Sis tunabakia maskin wa kutupwa fursa na pesa zinapelekwa kwngne kwann tukae kimya
 
Nilitegemea hata regional maritime rescue cordination centre ingekuwa ni jengo la maana kumbe ni floor moja tu ilo ofisi ya maziwa makuu ingekuwa arusha au Dar wangejenga kichuguu cha maana sana, hii hawamu Mungu anawaona, tulidanganywa barabara za kenyatta zitaanza kujengwa bajeti hii lakini naona hakuna kitu, na Mwanza ndio inaongoza kwa kuwa na barabara mbovu highway nchi hii eti tunaitwa jiji la pili😁😁😁.
 
Duh nmeion mzee afu ndo lile jengo nchi Tatu zimechangia kwel... Hiyo kujenga majengo ya thamani kulingana na mji huska inategmean nchi inaichukulia vip huo mji mwanza wanaidharau San ndo Maan hamn kiongoz mwenye mda nayo na iv saiv Dom imeongezwa kwen rada za serkal bas ndo inazd kupotezwa.... N sis watu wa uko tunapswa kuamka bila ivo haki zote zitapelek kwngne Kwan serenget si ipo mara ila imekua Mali ya arusha!!!! Coz watu wamelal tu
 
Ile hotel ya Nssf si mwak Jana ilikua kwen bajeti kuimalizia ianze kufny Kaz lakn imepigwa kimya imesimam na hela sijui zimepigwa au vip coz wanajua wakiimiliza itaitaji wataliii na sio wazawa na km n wataliii lazm wapromote serenget national park ili wataliii waje mwanza means watashush utalii chuga so iyo pia inaleta compilcation hawatak kuimalizia
 
Kama serikali inajenga floor moja na tunataka watu binafsi wajenge 10f kwenye CBD je huu ni ungwana?
 
Hili n jengo la nin na n mtu binafsi
Ni jengo la shirika la dini AIC Makongoro kwa sasa limefika floor ya tatu na pembeni wanakarabati kanisa lao kuwa na mwonekano wa kisasa zaidi.
 
Cha kuchekesh n nchi Tatu za EAC ndo zimeungan kujenga hio headquarters 😂😂 sjui kiongoz wao alikua nan... Jengo la kuish mtu iv nyasak izo si ndo wanaish watu
Hii ni dharau tu hakuna kingine ni bora wangeongeza mnara kwa juu hata wa mita 20
 
Lake victoria basin Miladi yao iko vizuri isipokuwa upande wa Tanzania tu, HQ ipo kisumu ni bonge la kitu, Uganda nako kuna bonge la dude njoo kwetu sasa utachoka na hapo 51% ya ziwa Victoria ipo Tanzania
 
Kisumu wana International Airport, Entebe wanayo pia ila kwetu sasa hatari na hizo ndio lake side cities ikiwepo na mwanza, Njoo mwanza sasa utachoka watu wanaona hakuna wanachopoteza minofu na madini kupita Entebe na Nairobi tunapoteza fursa na exposure kwa maamuzi ya watu wachache
 
Viwanda vya Nyama, Viwanda vya Samaki, Madini, Utalii, Biashara za ndani na nnje ya nchi, Bidhaa za ziwani Bondo za samaki, Dagaa, Vifaa vya uvuvi, Vipuli vya Maboti, Mazao ya Biashara Pamba, Chai, kahawa, Mazao ya chakula Mchele, Mahindi, Ndizi, Maharage, Viazi n.k Makampuni makubwa ya madini GGM, BARRICK, WILLIAM DIAMOND, NYANZAGA, N.K, Makampuni ya Ujenzi NYANZA RD, KASCO, JASCO N.K Makampuni ya vinywaji Coca-Cola, Pepsi, Serengeti Breweries, TBL, n.k Kanda ya Ziwa inakosaje International Airport, Alafu tunaitwa mikoa maskin wakati tumebanwa kwenye soko la ndani Watujengee Nasi International Airport tuyafikie masoko ya Ulaya na Bara Asia.
 
Nadhn kilichobadilk kimebak n jengo la abiria lenye hadhi ya kimataifa ndo nilion limeagizwa kujenga kwa bilion 30
 
Hapo Clinic wanapowaamishia mama lishe wa Kamanga maeneo ya clinic jiji wangetengeneza Central Park kubwa wakambatanisha na vibanda vya mama lishe patapendeza sana Angalia mfano wa wenzetu
 

Attachments

  • ac0dc121212a5e3400e3375796e26bef.mp4
    13.6 MB
Hehe ....nyie wasukuma mkpendwa na vichaa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…