Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Hapo hakuna mbambambaa.Mkuu hili jengo nalo vp ujenzi uneshaanza au bado?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo hakuna mbambambaa.Mkuu hili jengo nalo vp ujenzi uneshaanza au bado?.
Hii hawamu hii itakuumiza kichwa lile daraja la JPM huwa linawafanya watuchukie zaidi, Geita inaongoza kwa kuingizia serikali zaidi ya mapato ya bilion 600 kwa mwaka hakuna lakini hakuna chochote wanachofanyiwa, Mwanza kuna mgodi mkubwa unakuja wa Nyanzaga lakini utashangaa H/Q ikawa Dar, sijui hii serikali huwa inatuonaje?Samhn kw kupost hii lakn wakuu saiv inshu ya kuitenga lake zone imekua kubw San Kwan utalii si arush ndo kitovu kwann ishu ya madini wapelek Tena arush wats wrong with government??... Hi kituo cha mafunzo ya ufundi kwen kuongeza thaman ilibd kijengwe mwanz kwann wachague upande mmoj ndo uwe kitovu na sio mji mkuu..... Mwnz hamn kituo chchote kikubwa au chuo lake zone nzima inaongoz kwa population na kuchangia mapato bt stil wanatusahau kwann sisi n wapole San au wajinga au ndo hatuna shida na miradi ya Maan au taasis muhmu za elimu n aibu nchi kuegemea upande mmoja kwa lengo fulan hatuwez muendelee kwa stail hiyo it's stupid...
Hakuna chuo kikuu cha serikali kanda yote ya ziwa, hakuna hospitali ya rufaa ya serikali kanda yote ya ziwa, hakuna kiwanja cha maana kanda yote ya ziwa, hakuna barabara za maana hata moja kanda yote ya ziwa na bado wanaendelea kutunyonya na kutuona wapumbavu.Samhn kw kupost hii lakn wakuu saiv inshu ya kuitenga lake zone imekua kubw San Kwan utalii si arush ndo kitovu kwann ishu ya madini wapelek Tena arush wats wrong with government??... Hi kituo cha mafunzo ya ufundi kwen kuongeza thaman ilibd kijengwe mwanz kwann wachague upande mmoj ndo uwe kitovu na sio mji mkuu..... Mwnz hamn kituo chchote kikubwa au chuo lake zone nzima inaongoz kwa population na kuchangia mapato bt stil wanatusahau kwann sisi n wapole San au wajinga au ndo hatuna shida na miradi ya Maan au taasis muhmu za elimu n aibu nchi kuegemea upande mmoja kwa lengo fulan hatuwez muendelee kwa stail hiyo it's stupid...
No inabd tupige kelel hatuwez kukaa kimya kwen haya yanayoendelea tunaonekn mazwazwa na ndo Maan n rahis kufany ivo watu lake zone madiwani wazawa na wabunge should unite kupinga huu ujinga...kwann kitu kikitk kujengw lake zone wnapiga kelel wanakaa kimya kwann sis tusipige kelel wakaach wanachofny!!? Sis tunabakia maskin wa kutupwa fursa na pesa zinapelekwa kwngne kwann tukae kimyaHii hawamu hii itakuumiza kichwa lile daraja la JPM huwa linawafanya watuchukie zaidi, Geita inaongoza kwa kuingizia serikali zaidi ya mapato ya bilion 600 kwa mwaka hakuna lakini hakuna chochote wanachofanyiwa, Mwanza kuna mgodi mkubwa unakuja wa Nyanzaga lakini utashangaa H/Q ikawa Dar, sijui hii serikali huwa inatuonaje?
Wanashindwa kupeleka umeme na kuunganisha kwa kaya za kanda ya ziwa na wanakuwa na mizunguko mingi sana kwetu, data zikija utasikia mikoa ya kanda ya ziwa zipo mkiani kwa kuwa na kaya chache zilizounganishiwa umeme na matumizi madogo ya umeme.
Kifupi serikali hii haiwatambui watu wa kanda ya ziwa.
Nilitegemea hata regional maritime rescue cordination centre ingekuwa ni jengo la maana kumbe ni floor moja tu ilo ofisi ya maziwa makuu ingekuwa arusha au Dar wangejenga kichuguu cha maana sana, hii hawamu Mungu anawaona, tulidanganywa barabara za kenyatta zitaanza kujengwa bajeti hii lakini naona hakuna kitu, na Mwanza ndio inaongoza kwa kuwa na barabara mbovu highway nchi hii eti tunaitwa jiji la pili😁😁😁.No inabd tupige kelel hatuwez kukaa kimya kwen haya yanayoendelea tunaonekn mazwazwa na ndo Maan n rahis kufany ivo watu lake zone madiwani wazawa na wabunge should unite kupinga huu ujinga...kwann kitu kikitk kujengw lake zone wnapiga kelel wanakaa kimya kwann sis tusipige kelel wakaach wanachofny!!? Sis tunabakia maskin wa kutupwa fursa na pesa zinapelekwa kwngne kwann tukae kimya
Duh nmeion mzee afu ndo lile jengo nchi Tatu zimechangia kwel... Hiyo kujenga majengo ya thamani kulingana na mji huska inategmean nchi inaichukulia vip huo mji mwanza wanaidharau San ndo Maan hamn kiongoz mwenye mda nayo na iv saiv Dom imeongezwa kwen rada za serkal bas ndo inazd kupotezwa.... N sis watu wa uko tunapswa kuamka bila ivo haki zote zitapelek kwngne Kwan serenget si ipo mara ila imekua Mali ya arusha!!!! Coz watu wamelal tuNilitegemea hata regional maritime rescue cordination centre ingekuwa ni jengo la maana kumbe ni floor moja tu ilo ofisi ya maziwa makuu ingekuwa arusha au Dar wangejenga kichuguu cha maana sana, hii hawamu Mungu anawaona, tulidanganywa barabara za kenyatta zitaanza kujengwa bajeti hii lakini naona hakuna kitu, na Mwanza ndio inaongoza kwa kuwa na barabara mbovu highway nchi hii eti tunaitwa jiji la pili😁😁😁.
Ile hotel ya Nssf si mwak Jana ilikua kwen bajeti kuimalizia ianze kufny Kaz lakn imepigwa kimya imesimam na hela sijui zimepigwa au vip coz wanajua wakiimiliza itaitaji wataliii na sio wazawa na km n wataliii lazm wapromote serenget national park ili wataliii waje mwanza means watashush utalii chuga so iyo pia inaleta compilcation hawatak kuimaliziaNilitegemea hata regional maritime rescue cordination centre ingekuwa ni jengo la maana kumbe ni floor moja tu ilo ofisi ya maziwa makuu ingekuwa arusha au Dar wangejenga kichuguu cha maana sana, hii hawamu Mungu anawaona, tulidanganywa barabara za kenyatta zitaanza kujengwa bajeti hii lakini naona hakuna kitu, na Mwanza ndio inaongoza kwa kuwa na barabara mbovu highway nchi hii eti tunaitwa jiji la pili😁😁😁.
Hii ni dharau tu hakuna kingine ni bora wangeongeza mnara kwa juu hata wa mita 20
Hili n jengo la nin na n mtu binafsiLinganisha na hii AIC
View attachment 2935070
Ni jengo la shirika la dini AIC Makongoro kwa sasa limefika floor ya tatu na pembeni wanakarabati kanisa lao kuwa na mwonekano wa kisasa zaidi.Hili n jengo la nin na n mtu binafsi
Hii ni dharau tu hakuna kingine ni bora wangeongeza mnara kwa juu hata wa mita 20
Nadhn kilichobadilk kimebak n jengo la abiria lenye hadhi ya kimataifa ndo nilion limeagizwa kujenga kwa bilion 30Viwanda vya Nyama, Viwanda vya Samaki, Madini, Utalii, Biashara za ndani na nnje ya nchi, Bidhaa za ziwani Bondo za samaki, Dagaa, Vifaa vya uvuvi, Vipuli vya Maboti, Mazao ya Biashara Pamba, Chai, kahawa, Mazao ya chakula Mchele, Mahindi, Ndizi, Maharage, Viazi n.k Makampuni makubwa ya madini GGM, BARRICK, WILLIAM DIAMOND, NYANZAGA, N.K, Makampuni ya Ujenzi NYANZA RD, KASCO, JASCO N.K Makampuni ya vinywaji Coca-Cola, Pepsi, Serengeti Breweries, TBL, n.k Kanda ya Ziwa inakosaje International Airport, Alafu tunaitwa mikoa maskin wakati tumebanwa kwenye soko la ndani Watujengee Nasi International Airport tuyafikie masoko ya Ulaya na Bara Asia.
Hehe ....nyie wasukuma mkpendwa na vichaa??No inabd tupige kelel hatuwez kukaa kimya kwen haya yanayoendelea tunaonekn mazwazwa na ndo Maan n rahis kufany ivo watu lake zone madiwani wazawa na wabunge should unite kupinga huu ujinga...kwann kitu kikitk kujengw lake zone wnapiga kelel wanakaa kimya kwann sis tusipige kelel wakaach wanachofny!!? Sis tunabakia maskin wa kutupwa fursa na pesa zinapelekwa kwngne kwann tukae kimya