Hilo jengo kule Nyasaka, bwiru ni nyumba ya mtu.Cha kuchekesh n nchi Tatu za EAC ndo zimeungan kujenga hio headquarters ππ sjui kiongoz wao alikua nan... Jengo la kuish mtu iv nyasak izo si ndo wanaish watu
Ingekuwa ilo jengo linajengwa Dar, arusha au dodoma ungeona kichuguu ch uhakikaLake victoria basin Miladi yao iko vizuri isipokuwa upande wa Tanzania tu, HQ ipo kisumu ni bonge la kitu, Uganda nako kuna bonge la dude njoo kwetu sasa utachoka na hapo 51% ya ziwa Victoria ipo Tanzania
Hapa umemaliza kila kitu.Viwanda vya Nyama, Viwanda vya Samaki, Madini, Utalii, Biashara za ndani na nnje ya nchi, Bidhaa za ziwani Bondo za samaki, Dagaa, Vifaa vya uvuvi, Vipuli vya Maboti, Mazao ya Biashara Pamba, Chai, kahawa, Mazao ya chakula Mchele, Mahindi, Ndizi, Maharage, Viazi n.k Makampuni makubwa ya madini GGM, BARRICK, WILLIAM DIAMOND, NYANZAGA, N.K, Makampuni ya Ujenzi NYANZA RD, KASCO, JASCO N.K Makampuni ya vinywaji Coca-Cola, Pepsi, Serengeti Breweries, TBL, n.k Kanda ya Ziwa inakosaje International Airport, Alafu tunaitwa mikoa maskin wakati tumebanwa kwenye soko la ndani Watujengee Nasi International Airport tuyafikie masoko ya Ulaya na Bara Asia.
Umeandika nini? Mbona usomeki.Hehe ....nyie wasukuma mkpendwa na vichaa??
Weka picha wakibomoa mkuu, picha inasema mengi kamanda.Ghana Cota TBA Wanajenga majengo mengine nane ya Ghorofa 7 kila moja nafikiri mmeshaanza kuona wakibomoa zile nyumba mbele ya Rock City Mall
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/100014109288615/posts/1807322613081364/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v
nyakato sehemu gani ? unaingilia wapi kutoka barabara ya MusomaNyakato, Mwanza kiwanja kipya
View attachment 2870791
Watajenga jengo jipya au wanamalizia hiyo godown?Hayawi hayawi yanaenda kuwa hapa Sasa unapigwa mwingi International Airport nikitamani sana hii kitu
Hayawi hayawi yanaenda kuwa hapa Sasa unapigwa mwingi International Airport nikitamani sana hii kitu
Natamani wajenge jengo jipya na lile godown walimalizie kimtindo, tupate kitu cha uhakika.Tarehe 28 ni kesho tunapata Update kamili tuvute subila ila yote kwa yote iwe International Airport tu, Wanangu wa Shy, Mwanza, Kahama, Mara, Bukoba, Tabora wapate shortcut ya kwenda kutaftia maisha mbele huko
Nilivyosikia lile jengo la zamani litakuwa Super market zen wanajenga jengo lingine lenye hadhi ya kimataifa pia NSSF nao watakua na project yao ya 5 Star hotel japo wazo hili sikulipenda sana maana International Airport huwa zikitanuliwa mara kwa mara kulingana na mahitaji yanavyoongezeka ,Hiyo 5 star wangejenga Igombe huko kuna Beach Plot za kutoshaNatamani wajenge jengo jipya na lile godown walimalizie kimtindo, tupate kitu cha uhakika.
Mkuu wapo sawa hapo airport karibu na kule kwa biteko, panafaa zaidi ili tupate hotel ya kushindana na malaika beach kwa ukanda huo hakuna kwenda mbali, wakati hapo airport kuna eneo kubwa sana na sio la kuisha leo waliweka kwaajili ya uwekezaji kama huo unataka watu waendelee kulima mpunga ukanda huo.Nilivyosikia lile jengo la zamani litakuwa Super market zen wanajenga jengo lingine lenye hadhi ya kimataifa pia NSSF nao watakua na project yao ya 5 Star hotel japo wazo hili sikulipenda sana maana International Airport huwa zikitanuliwa mara kwa mara kulingana na mahitaji yanavyoongezeka ,Hiyo 5 star wangejenga Igombe huko kuna Beach Plot za kutosha
Wanajenga jingne la bil 30 halimshaul ya ilemela wamerushia ile bil 2 yao iliokua inaleta mgogoroNatamani wajenge jengo jipya na lile godown walimalizie kimtindo, tupate kitu cha uhakika.
Pich hain maelezo n jengo la nin mtaa gan floor ngp
Pich hain maelezo n jengo la nin mtaa gan floor ngp