Viwanda vya Nyama, Viwanda vya Samaki, Madini, Utalii, Biashara za ndani na nnje ya nchi, Bidhaa za ziwani Bondo za samaki, Dagaa, Vifaa vya uvuvi, Vipuli vya Maboti, Mazao ya Biashara Pamba, Chai, kahawa, Mazao ya chakula Mchele, Mahindi, Ndizi, Maharage, Viazi n.k Makampuni makubwa ya madini GGM, BARRICK, WILLIAM DIAMOND, NYANZAGA, N.K, Makampuni ya Ujenzi NYANZA RD, KASCO, JASCO N.K Makampuni ya vinywaji Coca-Cola, Pepsi, Serengeti Breweries, TBL, n.k Kanda ya Ziwa inakosaje International Airport, Alafu tunaitwa mikoa maskin wakati tumebanwa kwenye soko la ndani Watujengee Nasi International Airport tuyafikie masoko ya Ulaya na Bara Asia.