Mwanza City: The Photo Gallery

Usijal tutakupa ulinzi

Sisi ndo akina ngosha
 
Tumeanza upya na update za Jiji
Mwaka mpya na mambo mapya
Tunamshukuru Mungu mpaka sasa baadhi ya miradi tuliyotamani ifanyike mwanza ipo kwenye hatua nzuri za kuanza
👇
Upanuzi wa barabara ya kenyata km 25 tender ilitangazwa mwezi wa 10 na kufungwa November 2024 ..Hadi sasa wako kwenye hatua za mwisho za kumpata mkandarasi
 
Hivi pale mkuyuni ni kipi kinaendelea?juzi nilipita nikaona mitambo ya JASSIE ipo kazini.
 
Bila kusahau maghorofa wadau ndio yanayopendezesha mji ukiacha barabara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…