Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Wewe umeambiwa usilete mambo ya kulinganisha sasa unaleta za kuleta unatutia aibu watu wa Chugastan si ajabu ndio maana Arusha tunadharauliwa vijana tunaitwa wavuta bangi hakuna nguvu kazi ya maana kwa vijana.
Mimi natokea Arusha na niko Mwanza mwaka wa 27 sasa lazima niwe mkweli bila upendeleo Arusha huwezi ilinganisha na Mwanza hata kwa chembe kisa tu eti Arusha imekuwa jiji.
Arusha ina umaarufu tu sababu ya mambo ya utalii wake lakini sio kitu kwa Mwanza hata kwa utajiri wa mali asili na mzunguko wa pesa.
Povu inaruhusiwa najua nitashambuliwa sana na wana AR wenzangu ila wakina Ngosha nilionao huku watu wakarimu mno hawawezi niangusha.
Usijal tutakupa ulinzi

Sisi ndo akina ngosha
 
Tumeanza upya na update za Jiji
Mwaka mpya na mambo mapya
Tunamshukuru Mungu mpaka sasa baadhi ya miradi tuliyotamani ifanyike mwanza ipo kwenye hatua nzuri za kuanza
👇
Upanuzi wa barabara ya kenyata km 25 tender ilitangazwa mwezi wa 10 na kufungwa November 2024 ..Hadi sasa wako kwenye hatua za mwisho za kumpata mkandarasi
1737889158509.jpg
 
Tumeanza upya na update za Jiji
Mwaka mpya na mambo mapya
Tunamshukuru Mungu mpaka sasa baadhi ya miradi tuliyotamani ifanyike mwanza ipo kwenye hatua nzuri za kuanza
👇
Upanuzi wa barabara ya kenyata km 25 tender ilitangazwa mwezi wa 10 na kufungwa November 2024 ..Hadi sasa wako kwenye hatua za mwisho za kumpata mkandarasi View attachment 3217787
Hivi pale mkuyuni ni kipi kinaendelea?juzi nilipita nikaona mitambo ya JASSIE ipo kazini.
 
Bila kusahau maghorofa wadau ndio yanayopendezesha mji ukiacha barabara.
 
Back
Top Bottom