Mwanza City: The Photo Gallery

Naomba orodha ya uwekezaji mwanza ambao una lmtija kwa mtu binafsi naomba wanaokaa mwanza wanipe majibu....... Natarajia kuwekeza mwanza hivi punde
 
Hivyo vibanda bado kupakwa rangi tu vifanane na vya kule brazil! [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
Asante sana kwa ufahamu wako. Igogo na maeneo mengi jiji ni Dar yakiwemo Pasiansi, Nyamanoro na Mabatini na Kitangiri ni kama Miata ya Kilimanjaro ya Jiji la Rio de Janeiro Brazi
 
Haujitambui wewe. Usidhani watu wanaopost humu uzuri wa Mwanza hawajatembea ama wote wanaishi Mwanza. Wanapenda kwao na ndio furaha yao, we kama na inferiority complex sijui alishafika Dar so what? Ama unadhani Dar ni kila kitu? Mtu wa Dar akijisifia uzuri wa Dar kuna mburura mwingine atakubali hapa kudai ulishajiuliza Johannesburg? Wa Jo'burg naye ataulizwa ulishafika Dubai, Ndo unavyotaka?
 
Eneo la Capri Point likiwa limezungukwa na maji ya Mwanza South (port) na North Port.
 
Uwanja wa Kirumba na Rock City Mall na barabara ya Airport. Eneo linaloonekana ni pamoja na Mitaa ya Furahisha, Ghana, Nyamanoro, Kilimahewa, Pasiansi, Bwiru, Sabasaba, Ilemela na Airpot.
 
Rocky City Centre alongside Kenyatta Road, ni noma mzee. Kwa mbali ziwani meli inaonekana kwenye Bandari ya Mwanza North. Kilima kinachoonekana nyuma ni Kirumba.
 
Mwanza-Mwanza. Eneo linaloonekana ni Kilimahewa, Ghana, Kirumba, Isamilo, City Centre na Capri Point. Julia kwenye picha ni Kirumba stadium. Kipindi hicho hakujangwa Rock City Mall. Pembeni mwa Ziwa linaonekana soko maarufu la samaki Afrika Mashariki la Kirumba Mwaloni, ambapo biashara ya dagaa ni kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…