Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Naomba orodha ya uwekezaji mwanza ambao una lmtija kwa mtu binafsi naomba wanaokaa mwanza wanipe majibu....... Natarajia kuwekeza mwanza hivi punde
Kama upo vizuri wekeza kwenye nguo za kike hasa suruali za kike za kulalia na kitaa...mwanza bado sana japo sa hv mwamko umeanza so ukiwah unadaka soko fresh kabla halijakaba....mgahawa wa fresh juice pia unamake money....!! Appartment zinahtajika sana kama mkwanja unao jitupie... Fursa zipo shazi Wengine wataongezea
 
IMG_3188.JPG
Rock City Mall
 
121345460.jpg
aerial view. ni kipindi cha nyuma kidogo uwanja wa nyamagana ukiwa bado haujawekwa nyasi bandia.
 
Kama upo vizuri wekeza kwenye nguo za kike hasa suruali za kike za kulalia na kitaa...mwanza bado sana japo sa hv mwamko umeanza so ukiwah unadaka soko fresh kabla halijakaba....mgahawa wa fresh juice pia unamake money....!! Appartment zinahtajika sana kama mkwanja unao jitupie... Fursa zipo shazi Wengine wataongezea
Nimekusoma kaka..... Ngoja wengine waje watuongezee fursa nyingine mwanza inahitaji wawekezaji wengi ili kukuza pato la mkoa....

Nakimbilia huko hivi punde
 
Miongoni mwa Mikoa masikini Tanzania ni pamoja na:

Kagera

Singida

Mwanza

Rukwa

Hayo aliyasema Waziri mapema mwezi uliopita.

Kumbe Mwanza kumejengwa hivi?
 
Back
Top Bottom