Mwanza City: The Photo Gallery

Ukubwa wa ma jiji ni km ifuatavo
Dar es salaaam
Mwanza
Arusha
Tanga
Mbeya
Dodoma

Mikoa ambayo siku za usoni itakuja kua na hadhi ya jiji
Moshi (KLM)
Morogoro
Iringa
 
Yaaap....nimetoka miez kadhaa nje ya mwanza nimerud nimekuta changes za hapa na pale....amsha amsha imeongezeka sana....watu wa mara na simiyu wamechangamsha sana huu mji...
 
Mkuu kuna angle flani unaipotezea hvi..mitaa ya sahara pamoja na nyerere square...tuburudishe mkuu...Thanx mkuu kwa news mbashara
Hizi picha nazipata kwenye mitandao sipigi mwenyewe sababu siko mza
 
Nimejaribu kupitia hayo maeneo zilipofungwa hizo taa zipo nyingi sana kiukweli nimependa...ila changamoto kubwa sijui ni makusudi au elimu ndogo au kutokujua au haraka tu hizo taa hazifuatwi hasa maeneo mengi mfano pale Kenyatta road njia ya kwenda Station, natta pale na butimba corner ikiwaka red kuashiria gari zcmame na raia wapite gari zinapita tu tena bila wasiwasi... Wanasimama pale wanapoona kuna umuhimu Wa kuruhusu watu wapite.. Lakin Kwa sasa MWANZA vipanya vinapaswa vitoke kbs hasa maeneo yenye watu wengi route ya Buhongwa -kisesa/Kishiri, buhongwa -ilemela/airport, airport/ilemela-kishiri/kisesa ziwe coaster japo sahv zipo kdg ila znapaswa ndio ziwe dakadala rasmi, pia ubunifu mpya uanzishwe njia mbalimbali kulingana na mahtaj ya watu na kuongezeka kwa idadi ya watu maeneo mbalimbali ya jiji, aiza uwepo ubunifu wa rangi mbali mbali zile za maeneo kwenye ubavu wa daladala zetu maana kila route ni blue kijani utazani dukani rangi zinapatikana hizo tu....

Mwanzanian
 
Mkuu nipo pamoja na ww vipanya ni kero tena kero kubwa, mfano route ya kisesa to nyashishi inachukua kama masaa mawili hvi....kuna jamaa yangu juzi alienda kuchukua mzgo nyegezi tokea kisesa ilimchukua kama saa nzima na nusu kufika nyegezi....Nashkru costa zimeanza kuingilia japo ni chache bado...naona sa hv mji umeanza kujengeka tena kwa kasi baada ya kupooza kama miaka mitano hv nyuma
 
Mkuu kwa habari nilizopata hivi punde tena za uhakika kabisa kutoka chanzo makini kabisa.. Ni kuwa vipanya mwisho mwaka huu kufikia mwez Wa pili mwakani hakuna kipanya mjini...ndio maana coaster zinakuja kwa kasi sana huku watu wazito wanashusha tu mfano kuna huyu bwana anajiita kitana kashusha TATA starbus kama 30! zpge route humu mjn na chache zimeanza kazi na kaja na route yake yakuanzia Mwaloni Nyanshishi....Vipanya kero hasa watu warefu ktk swala la kushika bomba na ukiwa na mizigo....
 
Hii kitu nimependa
 
asanten sana wana rock city kwa ku-show love kias hiki maaaaaana kunawatyu hum miji wanayo ishi/kutoka fisi ad katikati ya mjiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kuna mji flan iv nkipiga honi babati adi........................wanasikia kwel uo mji n mkubwaπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›

konki konki konki mastar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…