Mwenye taarifa za huu mradi? Hata picha.View attachment 1233989View attachment 1233990View attachment 1233991View attachment 1233992
Mchoro wa itakavyokuwa stendi mpya ya mabasi, yatokayo mikoa iliyopo upande wa Mashariki na kaskazin Mashariki mwa mji wa Mwanza pamoja na nchi jirani ya Kenya (Musoma, Sirari, Bariadi, Nairobi , Serengeti, Mombasa) ,ujenzi ushaanza eneo la Kona ya Nyamhongoro, na mkandarasi yupo site day and night...
Zamani stendi hii ilikuwepo eneo la Buzuruga , na Punde stendi mpya itakapokamilika , stendi ya Buzuruga itabadilishwa matumizi....
Ujenzi unaendelea , mkandarasi yupo site
Kuna maeneo ukifika utatutia aibu utatata mavazi meupe ukijua ni mbinguni!!Hapo ni mwanza au ulaya
Duh mtan nawe ushafikaga kumbe huko kwenye mamwanzaHapo kama Kapripoint vile..
Kapige hata wewe hujakatazwa
Ila naona kama kwenye soko kuu wamepause hiviUjenzi unaendelea , mkandarasi yupo site
Naona miradi yote ya kimkakati Mwanza imesimama, hakuna kinachoendelea.Ila naona kama kwenye soko kuu wamepause hivi
Mingine inaendeleaNaona miradi yote ya kimkakati Mwanza imesimama, hakuna kinachoendelea.
Airport, stendi,marine vessels...nadhani hiyo ndo mikubwaKama ipi mbali na Airport?
kote na Nyegezi stand kuna mwamba mmoja hapa kasema PESA zimezuiliwa na GVTIla naona kama kwenye soko kuu wamepause hivi
Ohoo sawa mkuukote na Nyegezi stand kuna mwamba mmoja hapa kasema PESA zimezuiliwa na GVT
Maisha yanaenda kasi,miaka kadhaa nyuma nilikuwa napita kati kati hapo ya hilo ghorofa nikitoka shule kisha napandisha mlimani home.ETI LEO KUMEANGUSHWA KITU CHA HOTEL ISAMILO LODGE HAPAPITIKI!!!!!!!!!View attachment 1340357
Isamilo surbub.
Hii Bugando cardiac itajengwa wapi mzee?Bugando Cardiac Centre/Bugando Heart institute.
Itakuwa na majengo mawili marefu, 15F na 10F
Kulingana na maelezo ya Mkutugenzi ujenzi utaanza mwakani.
View attachment 1340353
View attachment 1340355View attachment 1340356