Mapank
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 4,130
- 6,097
Mwenye taarifa za huu mradi? Hata picha.View attachment 1233989View attachment 1233990View attachment 1233991View attachment 1233992
Mchoro wa itakavyokuwa stendi mpya ya mabasi, yatokayo mikoa iliyopo upande wa Mashariki na kaskazin Mashariki mwa mji wa Mwanza pamoja na nchi jirani ya Kenya (Musoma, Sirari, Bariadi, Nairobi , Serengeti, Mombasa) ,ujenzi ushaanza eneo la Kona ya Nyamhongoro, na mkandarasi yupo site day and night...
Zamani stendi hii ilikuwepo eneo la Buzuruga , na Punde stendi mpya itakapokamilika , stendi ya Buzuruga itabadilishwa matumizi....
Sent using Jamii Forums mobile app