NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Lishakamilika mkuu nadhani skyscraper city kuna picha zake au alizonazo anaweza kukuwekea hapa.
Sure....Mimi nilitoka huku kipindi ndo wanajenga mall... Hata barabara ya airport kipindi hicho ilikuwa 2lane....Nilivyorudi sasa duh!!
Moja kati ya barabara bomba kabisa Tz.
Wacha hizi mambo unawachanganya Wakenya
Tushatokako kule kisumu vs Mwanza mkuu...Tupo jukwaa la Mwanza, hawapo huku.Wacha hizi mambo unawachanganya Wakenya
Wakuu mkiweza mtupe na views za huko Buhongwa, mecco, mkolani etc maana wengine tuko mbali na Mwanza saivi 👐
rocky beach kiongoziMkuu hiyo picha ya kwanza hapo ni wapi?
Limepakwa rangi? Na hawajamaliza baadhi ya majengo?View attachment 1417112View attachment 1417113View attachment 1417117View attachment 1417119hili dude huko mbeleni litatisha