Mwanza City: The Photo Gallery

Mkuu unatulisha matango pori sasa, hii ni Germany nafikiri[emoji23]
Mkuu inamaana Nawewe huamini hiyo ni New BOT building pale clinic!!! Sema kaipiga kwa Nyuma na sijawahi iona kwa Huo upande!!

Typed Using KIDOLE
 
Inawekwa wapi hii Mkuu?
Hili jengo ni laBOT lipo pale clinic na ujenzi nafikiri imeshaisha sema angle aliyopigia hii Picha hata Mimi limenifanya nitumie muda kidogo kung'amua hapo n wapi

Typed Using KIDOLE
 
Mkuu inamaana Nawewe huamini hiyo ni New BOT building pale clinic!!! Sema kaipiga kwa Nyuma na sijawahi iona kwa Huo upande!!

Typed Using KIDOLE
Sio BOT na wala hapo sio Mwanza najua hata picha hii alikoitoa
 
Jiji zuri hili
kabisaaaaaa πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…