Vege
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 338
- 365
hiyo mitaro katikati ingependeza zaid kama ingefukiwa afu wakafunga taa hapo katikati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hiyo mitaro katikati ingependeza zaid kama ingefukiwa afu wakafunga taa hapo katikati
Nilishagaiona pia iko poa sana na huo mtaa unapendeza sanaWakuu mliopo hapo mjini kwa sasa,vipi ile hospitali mpya ya Aghakan ishafunguliwa? Niliacha imekamilika sema kutumika ilikuwa bado.Ipo opposite na G&G hotel.
Ni nzuri ipo sehemu cool halafu ni kubwa... Ila hata ujenzi wake sikuusikia nilishangaa nilivyorudi tu nikaikuta,watu wengi watakuwa bado wanajua ile ya zamani bado.Nilishagaiona pia iko poa sana na huo mtaa unapendeza sana
Mimi nilikuwa mwanza mwaka Jana mwezi wa kumi na mbili nikapita mitaa ndo nikakutana nayo sema sikufanikiwa kupiga picha ila pako fresh sana.Ni nzuri ipo sehemu cool halafu ni kubwa... Ila hata ujenzi wake sikuusikia nilishangaa nilivyorudi tu nikaikuta,watu wengi watakuwa bado wanajua ile ya zamani bado.
Nilishagaiona pia iko poa sana na huo mtaa unapendeza sana
Hapana kwenye Ile kona waliondolewa!!! Wanaanzia mbele kidogoMara ya mwisho kupita ule mtaa ulikua umejaa wamachinga ushakua wa hovyo mno, yani wamachinga wameziba ukuta wote wa hospital wamebakiza geti tu.
Hapana kwenye Ile kona waliondolewa!!! Wanaanzia mbele kidogo
Mara ya mwisho nilipita nikakuta daladala pale...kituo cha magari ya kwenda Nyegezi,buhongwa kimekuwa pale temporarily kupisha ujenzi wa soko kuu..,Nazo hazizibi sana.Kama waliondolewa mtaa utakua umependeza, nilipata hapo February kama sijakosea
Hawa watu Pamoja na mdau hapo juu kawazungumzia wamejaa hadi pale Aga Khan Mpya inapaswa tuwaangalie kwà jicho la tatu , Ningependa Serikali ya mkoa ijaribu kuwatengea Maeneo maalum wakadesign pakawa Kama vile kule mlango mmoja na sio kujaa kiholela tu kila eneo Bila mpangilio maalum mfano pale mzunguko wa samaki ukiwa unaelekea CBE ya zamani hicho kinjia Cha tanesco ni tabu tupu njoo kule mzunguko wa Nyerere Road Unapenda mpk dampo kile kinjia yaan vurugu tupuu Kuna Huku kuanzia Sahara unakuja Maeneo ya pembezoni mwa Soko kuu mbaya zaidi Baada ya kufunga Soko wakaja kujaa kuzunguka ule mchepuko wa Agakhan ilifka mahali pale Aga Khan ya zamani umebakishwa mlango tu!!!Machinga wanakera balaa
Mkuu viongozi wa jiji hawana wanalofikiria zaidi ya soko, yaani sababu kubwa sasa hivi ni soko but kabla soko kuvunjwa walikuwa wamezagaa bado.Hawa watu Pamoja na mdau hapo juu kawazungumzia wamejaa hadi pale Aga Khan Mpya inapaswa tuwaangalie kwà jicho la tatu , Ningependa Serikali ya mkoa ijaribu kuwatengea Maeneo maalum wakadesign pakawa Kama vile kule mlango mmoja na sio kujaa kiholela tu kila eneo Bila mpangilio maalum mfano pale mzunguko wa samaki ukiwa unaelekea CBE ya zamani hicho kinjia Cha tanesco ni tabu tupu njoo kule mzunguko wa Nyerere Road Unapenda mpk dampo kile kinjia yaan vurugu tupuu Kuna Huku kuanzia Sahara unakuja Maeneo ya pembezoni mwa Soko kuu mbaya zaidi Baada ya kufunga Soko wakaja kujaa kuzunguka ule mchepuko wa Agakhan ilifka mahali pale Aga Khan ya zamani umebakishwa mlango tu!!!
Tunajua wapo kwenye utafutaji lakini Maeneo maalum yatengwe wasijae Sana Maeneo ya wazi mjin kiholela holela wanaharibu Sana hadhi ya Jiji letu pendwa!!!
Umeua Mkuu hayo mawazo ni konki haswaaa...Kuna nyumba Ile Barbara ya mitaa ya Uhuru Sijui rufiji zimechoka kidogo wakilipwa wanaweza kuondoka ikafanya project ya msingi sanaMkuu viongozi wa jiji hawana wanalofikiria zaidi ya soko, yaani sababu kubwa sasa hivi ni soko but kabla soko kuvunjwa walikuwa wamezagaa bado.
Ni aibu soko la mlango mmoja na makoroboi kuungua kisha halmashauri kuruhusu vibanda vya style ileile kujengwa.
Kwa mawazo yangu raisi alisema waandaliwe mazingira rafiki katikati ya miji.
Cha muhimu miji inatakiwa kuingia gharama za kujenga chinga centers kwenye mitaa na masoko, na baadhi ya vituo vya bus na express(daladala) tuliokua zamani ndio zilikuwa zinaitwa hivyo[emoji23]
Na hizi zisijengwe kwenye barabara zilizo busy kwa mjini kati.
Kuna nyumba zimechoka halmashauri wanaweza kuwalipa wahusika wakahamishwa kukajengwa hizo chinga complex na zikawa na parking za magari.
Design ya chinga complex moja inaweza chukua wafanyabiashara 100-200.
Kama eneo ni finyu inaweza kuwa ya ghorofa pamoja na lift na ngazi.
Wahakikishe wanaouza vitu vya kufanana wapangwa sehemu moja ili kuleta fair competition. Mfano kama ni ya ghorofa ground floor wanaweza kaa wauza vyakula yaani mama ntilie, floor kwanza labda wauza viatu na nguo, floor ya pili vitu vya kielectronics nk hii itasaidia hata walioko juu kupata wateja. Vitu vyote vikiwa vinapatikana ground floor ni ngumu kwa walio juu kupata wateja,
Chini kabisa kunakuwa na parking ya magari.
Halmashauri itaingiza pesa za parking na za wafanyabiashara kupanga.
Kila mtaa na chinga place yake
-pamba chinga place.
Karuta chinga place.
Lumumba chinga place.
Rwagasore chinga place etc
Wanaweza wakajenga moja kila mwaka na nafikiri bajeti ya 1b to 1.5b tshs inatosha kwa jengo moja, inaweza kuwa gharama sasa hivi ila baada ya miaka 10 ni faida tu na gharama za uendeshaji kidogo pamoja na mji unaopendeza.
Picha ya Kwanza mpaka ya nne ni Wag hill Sweya , Na picha za mwisho no Rock bay resort ipo Busisi upande wa SengeremaWapi hii
Kuna mtu aliniambia kuwa kuna nyumba zimepigwa x...,sema sijajua ni zipiUmeua Mkuu hayo mawazo ni konki haswaaa...Kuna nyumba Ile Barbara ya mitaa ya Uhuru Sijui rufiji zimechoka kidogo wakilipwa wanaweza kuondoka ikafanya project ya msingi sana