Nilichogundua battle ya arusha vs mwanza ndiyo inayofanya threads zivutie na sidhan kama inaweza ikaja kufikia muafaka kwa sababu kwa upande wa investment za serikali mwanza iko juu tunaona hata mall yao imejengwa na serikali ila likija swala la private sector investments arusha imeiacha mwanza usawa wa mbingu na ardhi sio shule, hosptali au hoteli za binafsi za viwango mwanza magorofa ya 10+ hayafiki 10 arusha yako zaidi ya 20
Muhimu lets enjoy both cities kama unaona mji wako ni mzuri kuliko wa mwingine appreciate na mwenzako sababu hakuna mji uko perfect 100%