Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,608
Benki kuujengo la nn hilo
Lingeongezewa ghorofa lingekuwa mloganzila part 2. Radha ya jengo la mloganzila naiona humuView attachment 1611987
Jengo limekamilika, limekabidhiwa mwezi huu.
Duh jamaa unatoa mapande tuHahah
Tubishane kwa fact brother
Au tatizo kwenu ni njaa sana
Mnakosa reasoning
@sinyora Mama, Kama vip December hii tukutane Mwanza, Buhongwa ndio Home, kutafuta kunaniweka mbali na Home!!home sweet home
Inshaalah tuombe uzima Mkuu@sinyora Mama, Kama vip December hii tukutane Mwanza, Buhongwa ndio Home, kutafuta kunaniweka mbali na Home!!
Sehemu za starehe sizioni.View attachment 539866 a special thread for the rocky city.
let us share some photos, underconstruction projects as well as proposed projects in mwanza. NB do not take time to compare the city with other cities from tz. naanza na picha hizi then unaruhisiwa kutupia pia.....View attachment 533939 View attachment 533941 View attachment 534071 View attachment 534075 View attachment 534076 View attachment 534078
Chugga???🤣🤣🤣🤣Sasa base kwaapa tz amna maali patam kama arusha uliza wa2 walioishi uku uambiwe kuna life style ingine ambayo kwa kila nchi dunian inakua mkoa mmoja2 chuga tumebarikiwa
Buswelu? Huwa ni mradi wa nini huo?
Nimesikia tu na wala sina uhakika kwamba ni maduka ya mtu binafsi ambapo vifaa vya ujenzi vya aina zote vitapatikana hapoBuswelu? Huwa ni mradi wa nini huo?
Nimesikia tu na wala sina uhakika kwamba ni maduka ya mtu binafsi ambapo vifaa vya ujenzi vya aina zote vitapatikana hapo View attachment 1631803
Kifupi ilemela wanakuja vizuri sanaNimesikia tu na wala sina uhakika kwamba ni maduka ya mtu binafsi ambapo vifaa vya ujenzi vya aina zote vitapatikana hapo View attachment 1631803
Ilemela baado ina hadhina kubwa ya aridhi ambayo haijavamiwa hasa eneo la Kaskazini Mashariki. Mipango miji wakiweka nguvu tutakuwa na bonge la mji ndani ya jiji.Kuna habari nimezipata ilemela nao watajenga soko la kisasa huko huko wilayani.
Ni kubwa la ghorofa
Jamaa 1 anaitwa Mustapha ofisi yake ipo karibu na ilipohamishiwa clinic Mirongo anauza aluminium na finishing zingine na ule mfence mtamu pia pale nyansaka karibu na amazon kaweka apartment