Mwanza City: The Photo Gallery

Hii miaka mitano ningependa waangalie upya njia za Daladala Mwanza Jiji/ Ilemela municipal, wabuni na waongeze njia za kwenda kwenye maeneo muhimu. Bugango Bugarika inatakiwa iwepo Stand kubwa ya daladala. Kuwepo na uwezekano wa mtu kupanda gari moja kutoka sehemu yoyote ya jiji kuelekea Bugando. Na njia za kupanda na kushuka huo mlima ziwe za njia mbili. Wenzetu Dar wame improve sana vituo kama vya Tabata segerea, Mbagala, Kinyerezi, Mawasiliano, Makumbusho, Kawe, Tegeta vimeongeza wigo wa wafanyabiashara wadogo wadogo na kupunguza msongamano wa wafanyabiashara wadogo katikati ya Jiji.


Kama ingependeza hata Daladala za kutoka Buhongwa kuja Mjini, zitengenezewe njia kuanzia Mkuyuni kuja Bugarika/ Bugando hadi mjini. Tena ziwekewe 2 ways. Ile barabara ya Igogo kwenye depots za mafuta zibakie gari za private/ mizigo na daladala za Butimba-Mjini-Airport. Butimba-Kisesa unapitia Bugarik - Nyakato National to Kisesa.
 
Hata ile AICC imebaki kama gofu tu, international conference sasa ni Julius Nyerere International Convention Centre. DSM
Na mwanza hizo conference zenu mnafanyiaga vichakani au ziwani??
 
kwa nn waifunge?
kwani uwanja unafika huko
Kuna muda ilifungwa na issue ilikuwa upanuzi wa uwanja nafkr n zile running way!! Sasa wasiwasi wangu na huu ujenzi unaondelea mwisho was siku labda tutazuiliwa kupita hapo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…