Mapank
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 4,130
- 6,097
Hii miaka mitano ningependa waangalie upya njia za Daladala Mwanza Jiji/ Ilemela municipal, wabuni na waongeze njia za kwenda kwenye maeneo muhimu. Bugango Bugarika inatakiwa iwepo Stand kubwa ya daladala. Kuwepo na uwezekano wa mtu kupanda gari moja kutoka sehemu yoyote ya jiji kuelekea Bugando. Na njia za kupanda na kushuka huo mlima ziwe za njia mbili. Wenzetu Dar wame improve sana vituo kama vya Tabata segerea, Mbagala, Kinyerezi, Mawasiliano, Makumbusho, Kawe, Tegeta vimeongeza wigo wa wafanyabiashara wadogo wadogo na kupunguza msongamano wa wafanyabiashara wadogo katikati ya Jiji.
Kama ingependeza hata Daladala za kutoka Buhongwa kuja Mjini, zitengenezewe njia kuanzia Mkuyuni kuja Bugarika/ Bugando hadi mjini. Tena ziwekewe 2 ways. Ile barabara ya Igogo kwenye depots za mafuta zibakie gari za private/ mizigo na daladala za Butimba-Mjini-Airport. Butimba-Kisesa unapitia Bugarik - Nyakato National to Kisesa.