hao ni wa kuwapuuza tuKavamia uzi, na hoja dhaifu😀😀😀
Magu alishakataa isifungweHv ile njia ya kwenda Igombe haitafungwa kweli!??
Waghill mkuu wanazidi kupabadilishaIpo wapi hii!?
Vipi mbaya?Zoo siyo!
mkuyuni maghorofaniView attachment 1656167
Hayo maghorofa ya wafanyakazi wa Railway, Kadogosa afanye kitu hapo aisee huo ni uchafu tu kwa sasaNingekua na mamlaka hayo magorofa ningekuwa nimesha yabomoa zamani sana.
Wakuu hiyo meli hapo Tilapia huwa inafanya kazi?
Hiyo haiendi popote, kuna vyumba vya kulala, ni kama cottage.Wakuu hiyo meli hapo Tilapia huwa inafanya kazi?
Ngoja wajuzi zaidi waje.Wakuu hiyo meli hapo Tilapia huwa inafanya kazi?