Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,608
Yunlong Chinese hotel & restaurant
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
amazing place
more pics
gete gete namhalaNimukulia nyasaka ukitoka buzuruga kwenda pasiansi nimesoma nundu then kiloleli natamani sana nirud home ila changamoto ukoo mzima uko pale daa nyanza ya wiza gete
napapata sana. pande za kangae mecco kwa juu ilikuwa mitaa yangu ya kudhururia kipindi hikoNimukulia nyasaka ukitoka buzuruga kwenda pasiansi nimesoma nundu then kiloleli natamani sana nirud home ila changamoto ukoo mzima uko pale daa nyanza ya wiza gete
maisha ya mwanza ni cheap sana aliyewahi kuishi mwanza anaweza kuwa shahidi mzuri kwa hiliMji mzuri sasa mtuambie gharama za maisha zikoje na upatikanaji wa viwanja, nyumba na bei zake...