Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilemela wapo vizuri na ukiweka mauzo ya viwanjaTukimaliza quarter ya mwisho wa mwaka na uhakika mapato Ilemela yatavuta 10+ billion
Mbona ni mapema sanaWamiliki wa mabasi wanalalamika udogo wa stendi ya nyamhongolo, imefikia hatua mabasi yakosa sehemu ya kupark, lakini hii stendi tulidanganywa inauwezo wa kupaki mabasi 120 kumbe unawezo wa mabasi 80 tu.
Hyo stendi runway ni moja tuu Kwa magar yote kuingia na kutoka , sometime unawaza hv hawa wanao_design huwa wanafkria nnMbona ni mapema sana
Parking ya nyegezi ni balaa aisee ile ina uwezo wa kuchukua magari hata 150Hyo stendi runway ni moja tuu Kwa magar yote kuingia na kutoka , sometime unawaza hv hawa wanao_design huwa wanafkria nn
Stand ya Nyamhongolo ukubwa wake haitofautiani na stand ya Buzuruga.Hiyo stendi ni ndogo mkuu, leo nikasikia wanampango wakuongezea kwa nje parking ya mabasi.
Hii stendi ni ndogo sana, pia magari yanayoingia na kutoka yanapitia barabara moja hii ni jambo la kuchekesha sana.Hyo stendi runway ni moja tuu Kwa magar yote kuingia na kutoka , sometime unawaza hv hawa wanao_design huwa wanafkria nn
Haya mkuu tuambie nini kifanyike kupunguza hizo hadha, hayo majaruba ya kutengeneza yapo wapi, na hivyo viwanja vingi katikati ya mji vipo wapi nami nikaviangalie?, kuhusu mtandao wa barabara za lami ili ni ukweli lakini sio kusema barabara hazipiti hilo nakukatalia japo ardhi ya Mwanza ni kichanga kama ulivyosema lakini barabara ata kama haina lami zimejengwa kwa changarawe kuwezesha kupitisha magari kwa muda wote wa mwaka pia zimejengewa mifereji ya pembeni.Nimefika Mwanza na kuzurula kwa wiki 2 Kuna madhaifu makubwa sana kadhaa nimeyaona.
1- Kwanza Kuna uhaba mkubwa sana wa mtandao wa Rami wa barabara za mitaa. Hii kitu imesababisha Jiji limekuwa disorganized mnooo.
Na ardhi ya Mwanza ilivyo, ni kichanga, bila Rami mvua inanyesha inachota mchanga na kuacha barabara ni mashimo matupu.
Yaani usafiri tegemezi maeneo ya karibu tu ndani ya Jiji yamebaki ni Bajaj na Bodaboda. Mtu nayekaa Kisesa ana afadhali kiusafiri kuliko mtu wa Kishiri, Mahina, Nyanguruguru, nk.
2- Mwanza Jiji Kuna lundo kubwa la kiwanja/maeneo yaliyoachwa tu ambayo hayajulikani ni ya Nani.
- Hali hii imepelekea kukua na kukomaa kwa genge zito untouchable la matapeli tena wazee kabisa.
- Kwasababu hiyo kwa uwoga watu wameamua kukacha maeneo ya karibu na kwenda kujazana mbali kabisa ya mji Kama Usagara, Isangijo, Kitumba Kisesa, Mwahuli, Fela, Nyanshishi nk.
Imagine, katikati ya mji kabisa unakuta Kuna watu wanachunga ng'ombe tena wengi kabisa!!!
3- Ubovu wa routes za daladala. Nadhani hili linatokana na pia na Ubovu wa barabra za mitaa. Yaani daldala Ina route ya Magu-Nyanshishi kweli????!!
Mwanza mji unapanuka zaidi kuliko barabara na route za magari, baadaye daladala zinawekwa kwa kulazimisha tu lakini Hali ni mbaya na Tete sana.
4- Majaruba ya kutengeneza kila Kona. Hayo maeneo ni Bora yangepandwa miti kuboresha mji.
Miradi mikubwa iliyopo bado ni hiyo hiyo, soko la makoroboi, stand ya Nyegezi, Daraja busisi.
Kuna upembuzi tu wa barabara za Busenga, Veta- Nyanguruguru, Kuna nyingine Inapita Isela kwenda Kisesa Ila mpaka Sasa bado ni stori tu.
Huu ni mtazamo wangu kwa uzoefu wangu.
Ni kweli lakini ipo more designed.Stand ya Nyamhongolo ukubwa wake haitofautiani na stand ya Buzuruga.
Mpak sa hv stend imeonekana haitoshi, ndo mana huwa tunasema humu stend ni sehemu ya kushusha na kupakia abiria , la sivyo kila baada ya miaka 5 unahama unajenga stend mpya mbali na mji..mwisho wa sku stend itafika nyangunge , nawaza sjui Kwa nn bara bara ya nyamhongoro hawakuiunganisha Magari yanayotoka yanayoingia yatumie hyoHii stendi ni ndogo sana, pia magari yanayoingia na kutoka yanapitia barabara moja hii ni jambo la kuchekesha sana.
Kuhususu barabara za busenga, kishiri, na nyamhongolo zipo kwenye miradi ya tactic ni jambo la muda tu.Nimefika Mwanza na kuzurula kwa wiki 2 Kuna madhaifu makubwa sana kadhaa nimeyaona.
1- Kwanza Kuna uhaba mkubwa sana wa mtandao wa Rami wa barabara za mitaa. Hii kitu imesababisha Jiji limekuwa disorganized mnooo.
Na ardhi ya Mwanza ilivyo, ni kichanga, bila Rami mvua inanyesha inachota mchanga na kuacha barabara ni mashimo matupu.
Yaani usafiri tegemezi maeneo ya karibu tu ndani ya Jiji yamebaki ni Bajaj na Bodaboda. Mtu nayekaa Kisesa ana afadhali kiusafiri kuliko mtu wa Kishiri, Mahina, Nyanguruguru, nk.
2- Mwanza Jiji Kuna lundo kubwa la kiwanja/maeneo yaliyoachwa tu ambayo hayajulikani ni ya Nani.
- Hali hii imepelekea kukua na kukomaa kwa genge zito untouchable la matapeli tena wazee kabisa.
- Kwasababu hiyo kwa uwoga watu wameamua kukacha maeneo ya karibu na kwenda kujazana mbali kabisa ya mji Kama Usagara, Isangijo, Kitumba Kisesa, Mwahuli, Fela, Nyanshishi nk.
Imagine, katikati ya mji kabisa unakuta Kuna watu wanachunga ng'ombe tena wengi kabisa!!!
3- Ubovu wa routes za daladala. Nadhani hili linatokana na pia na Ubovu wa barabra za mitaa. Yaani daldala Ina route ya Magu-Nyanshishi kweli????!!
Mwanza mji unapanuka zaidi kuliko barabara na route za magari, baadaye daladala zinawekwa kwa kulazimisha tu lakini Hali ni mbaya na Tete sana.
4- Majaruba ya kutengeneza kila Kona. Hayo maeneo ni Bora yangepandwa miti kuboresha mji.
Miradi mikubwa iliyopo bado ni hiyo hiyo, soko la makoroboi, stand ya Nyegezi, Daraja busisi.
Kuna upembuzi tu wa barabara za Busenga, Veta- Nyanguruguru, Kuna nyingine Inapita Isela kwenda Kisesa Ila mpaka Sasa bado ni stori tu.
Huu ni mtazamo wangu kwa uzoefu wangu.
Mkuu magari hayakai sana stendi ni mwendo wa kushusha na kupakia na kuondoka lakini mabasi yanakosa sehemu ya kupaki nenda kajionee mkuu.Mpak sa hv stend imeonekana haitoshi, ndo mana huwa tunasema humu stend ni sehemu ya kushusha na kupakia abiria , la sivyo kila baada ya miaka 5 unahama unajenga stend mpya mbali na mji..mwisho wa sku stend itafika nyangunge , nawaza sjui Kwa nn bara bara ya nyamhongoro hawakuiunganisha Magari yanayotoka yanayoingia yatumie hyo
Majaruba Mwanza yamejaa kila Kona, kuanzia Buswelu Busenga,Isela, Nyamhongolo, Kisesa n.k.Haya mkuu tuambie nini kifanyike kupunguza hizo hadha, hayo majaruba ya kutengeneza yapo wapi,
Nambie watu wanaoishi Bukaga Kishiri wanaendaje?na hivyo viwanja vingi katikati ya mji vipo wapi nami nikaviangalie?, kuhusu mtandao wa barabara za lami ili ni ukweli lakini sio kusema barabara hazipiti hilo nakukatalia japo ardhi ya Mwanza ni kichanga kama ulivyosema lakini barabara ata kama haina lami zimejengwa kwa changarawe kuwezesha kupitisha magari kwa muda wote wa mwaka pia zimejengewa mifereji ya pembeni.
Tumia akili acha ujinga ngoja nikuelimishe hayo unayoona majaruba kama macho yako yanavyoona hizo ni "open space" ni viwanja vya halmashauri kwa mipango miji ya baadae.Majaruba Mwanza yamejaa kila Kona, kuanzia Buswelu Busenga,Isela, Nyamhongolo, Kisesa n.k.
Viwanja vilivyo wazi ni vingi sana Buswelu, Nyakato, Kangaye, Nyegezi, Nyamhongolo nk.
In short, ukinunua kiwanja Kuna 98% ukatapeliwa.
Hili nazungumza kwa uzoefu kabisa.
Nambie watu wanaoishi Bukaga Kishiri wanaendaje?
Watu wanaoishi Kitumba Kisesa wanaendaje?
Watu wanaoishi Mwahuli, Bujora Kisesa wanaendaje?
Watu wanaoishi Nyakato National wanaendaje?
Watu wanaokaaa Buswelu, Kuna barabara moja tu baadaye ya hapo ni Bajaj au Bodaboda.
Watu wamejaa mpaka Isela huko wanafikaje?
Malimbe, Luchelele huko?
Kazibwe Kwanza huko nyuma ili akili zikurudieUnatakiwa kukimbizwa milembe sio bure.
🙏🙏🙏🙏Kazibwe Kwanza huko nyuma ili akili zikurudie
Huna facts wewe JUHA. Unaleta matusi unadhani nitakuacha.Akili yako nimeshaelewa kuna nini kilichokufanya utukane, leta hoja umekalia kuropoka tu, nimekujibu kwa facts. Au leta picha basi, kila sehemu kuna bodaboda na kuna bajaji kila mtu achagua aina ya usafiri anaopenda.
Wewe kam unatangaza ushoga kafie mbele.
Sawa kabisaa.Wakuu tubaki kwenye maada yetu ya msingi, penye mazuri hapakosi mapungufu tujikite kwenye kutoa suluhisho la Nini kifanyike. Matusi, kejeli , vijembe na dharau hapa si pahala pake.🙏🙏🙏🙏