Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Buswelu na nyamhongolo hazina tofauti, ila kwa mtazamo wangu buswelu pamejengeka lakini ukinambia maeneo bora matano buswelu haiwezi kuwemo.
😀😀😀 buswelu unaiweka ligi na nyamhongolo seriously?? Wewe unaijua buswelu center au? Now nipo biiiiz nitawaletea picha

Buswelu ukichukua nyumba moja moja kali ukizihamisha zitaijaza bwiru,Capri point,isamilo,mwanachi na nyasaka

Kwa wale wenye mda waende upendo primary nyasaka mtaiona buswelu ilivyo ya moto
 
Mkuu nyamhongolo unaijua hiyo ya stendi tu nafikiri hakika huijui nyamhongolo, pili buswelu huiwez kuilinganisha na developed areas kama capripoint na bwiru, buswelu ni developing area kama ilivyo kishiri au shamaliwa.
 
Nyamhongolo yote naijua anzia hapo stand nenda kupitia hio njia ya huko nyuma unatokea hadi nyamadoke au kuna Nyamhongolo nyingine?
 
Mikkde haipendi bwiru, bwiru kwa sasa ndio eneo pekee linaloweza shindana na capripoint, mengine bado sana
Bwiru,napapenda ila sipakubali ,..nikilinganisha na maeneo mengine ambayo kama isamilo ,, ilemela huko sijafika muda mrefu ila Kwa picha alizotuma laizerg juzi ,,Ile mijengo ya ilemela na mandhari yake , bwiru inyoshe mikono ..... tatizo la bwiru imezungukwa na uswazi wa kitangiri na pasiansi ndo maana hata comfortability yake haionekani
 
Nyamhongolo nzuri ni ile inayopakana na kanyerere, ilemela ya kule Malaika mnayoisifia kwa sasa haifiki hata kwa mkolani darajani kwa chini uko😄
Mkolani Tena ,,,😱...hapa hatuangalii mitaa yenye nyumba za msouth ,,tunaangalia poshy and classic neighborhood ..hizo mkolani ,sijui buhongwa ,ziko kwenye ligi ya mitaa yenye nyumba za msouth...😁
 
😀😀😀 buswelu unaiweka ligi na nyamhongolo seriously?? Wewe unaijua buswelu center au? Now nipo biiiiz nitawaletea picha

Buswelu ukichukua nyumba moja moja kali ukizihamisha zitaijaza bwiru,Capri point,isamilo,mwanachi na nyasaka

Kwa wale wenye mda waende upendo primary nyasaka mtaiona buswelu ilivyo ya moto
😁😁😁 Make kwanza nicheke
 
Ukweli ndio huu miji mingi Mwanza haziwezi kuonesha mabavu kwa capripoint lakini bwiru pekee ndio mji bora unaoweza kushindana au ata kuizid capripoint.
Chumvi plus 😁😅
Kinachoibeba capripoint ni lami na hizo hotel...tuondoe lami tuone
 
Nyamhongolo nzuri ni ile inayopakana na kanyerere, ilemela ya kule Malaika mnayoisifia kwa sasa haifiki hata kwa mkolani darajani kwa chini uko😄
Hivi wakiandika Ilemela wa namaanisha ile ya malaika?
Kama ni ile bado sana, ndio kwanza imeanza kujengwa ila litapendeza sana kwa baadae
 
Yeah..hata na mim nakubaliana na hili ..then ilemela wanajenga apartment sana sana ..ila makazi binafsi sio mengi
 
Screenshot_20221221-175932.png

Mheshimiwa anasema February inaanza kupigwa lami
 
Hivi wakiandika Ilemela wa namaanisha ile ya malaika?
Kama ni ile bado sana, ndio kwanza imeanza kujengwa ila litapendeza sana kwa baadae
😄😄 Sasa unaongelea ilemela gani? Kule juu umetaja ilemela na nyasaka au unaongelea manispaa nzima ila kama ile ilemela ya kona igombe yenye zile apartments 5 aiseee pale bado sana kwa sasa😀
 
Mkolani Tena ,,,😱...hapa hatuangalii mitaa yenye nyumba za msouth ,,tunaangalia poshy and classic neighborhood ..hizo mkolani ,sijui buhongwa ,ziko kwenye ligi ya mitaa yenye nyumba za msouth...
Upo mwanza sehemu gani na unamda gani hujafika mkolani sio mkolani barabarani?
 
Back
Top Bottom