Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Miji mikubwa yenye bandari au maziwa hayakosi magodown makubwa yakutunzia mizigo.Magodown je, sio ya muhimu? 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miji mikubwa yenye bandari au maziwa hayakosi magodown makubwa yakutunzia mizigo.Magodown je, sio ya muhimu? 🤣
Bandari ni Mwanza South, hilo eneo sio la bandari ndio maana wanataka ku phase out huto tu bandari uchwara hilo eneo,.Miji mikubwa yenye bandari au maziwa hayakosi magodown makubwa yakutunzia mizigo.
Nimeona majengo yaliyopigwa grey yana mvuto fulaniView attachment 2458394View attachment 2458395View attachment 2458396View attachment 2458397
Hzi za mwezi huu, rufiji inakimbiza sana
View attachment 2458394View attachment 2458395View attachment 2458396View attachment 2458397
Hzi za mwezi huu, rufiji inakimbiza sana
Hii picha ni pasiansi.na panaonekana pamekaa vizuri na mpangilio... mapank akikuletea picha za google earth huwezi amini patakavyoonekana pa ovyo
Hivi huo uwazi huko juu ni mtaa ganiView attachment 2458394View attachment 2458395View attachment 2458396View attachment 2458397
Hzi za mwezi huu, rufiji inakimbiza sana
Victoria annex Palace hotel kama sijakosea siku 5 kwa kasemina hapo nilienjoy sana hapo
Victoria palace hotel ipo capripoint...au ndo zile zile na pasiansi wana hotelVictoria annex Palace hotel kama sijakosea siku 5 kwa kasemina hapo nilienjoy sana hapo
Na kwa bahati nzuri zote nimehafika kwaajili ya semina tu ila majina huwa yananichanganya kidogo mkuuVictoria palace hotel ipo capripoint...au ndo zile zile na pasiansi wana hotel
Adden Palace HotelVictoria annex Palace hotel kama sijakosea siku 5 kwa kasemina hapo nilienjoy sana hapo
Nyashana jeshiniHivi huo uwazi huko juu ni mtaa gani
Kuna kambi ya jeshi huko? Na ile wanaita ihale ni wapi tena mkuu?Nyashana jeshini
sisi semina zetu za icap tunafanyiaga ukumbi wa st dominic nyakahoja 😄😄😄Victoria annex Palace hotel kama sijakosea siku 5 kwa kasemina hapo nilienjoy sana hapo
Hapana sio Frankfurt apo ni Hollywood USAHii ni miji ya kijerumani hapo ni Frankfurt
Izo Nyumba kwa backgrounds zinakera, walipwe fidia wahamishwe pia naona tupo Nyuma kwenye suala la designView attachment 2458394View attachment 2458395View attachment 2458396View attachment 2458397
Hzi za mwezi huu, rufiji inakimbiza sana
Hii milad ayo kapost wapiView attachment 2458394View attachment 2458395View attachment 2458396View attachment 2458397
Hzi za mwezi huu, rufiji inakimbiza sana
WebHivi huo uwazi huko juu ni mtaa gani