MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,928
- 8,976
Inapakana na Kangabe?Shamaliwa inaanzia usawa wa ilipp garage ya cola cola mitimirefu hadi pale tandabui kwenda uko ndani
Kifupi Shamaliwa ipo mpakani kati ya igoma na kishiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inapakana na Kangabe?Shamaliwa inaanzia usawa wa ilipp garage ya cola cola mitimirefu hadi pale tandabui kwenda uko ndani
Kifupi Shamaliwa ipo mpakani kati ya igoma na kishiri
Halafu hata hiyo Kishiri haina milima ya kutisha Kama Mwananchi, Mabatini,Bwiru,Igogo na Capripoint. Watu wanaisingizia tu.Milima tutaisingizia tu ni mipango miji mbona capripoint, isamilo na nyegezi ipo vizuri?
Yeah kishiri Iko vizuri sana ...na ndio kata yenye watu wengi zaidi wilaya ya nyamaganaHalafu hata hiyo Kishiri haina milima ya kutisha Kama Mwananchi, Mabatini,Bwiru,Igogo na Capripoint. Watu wanaisingizia tu.
Issue ni barabara ya kwenda Kishiri, ni mbovu na Kishiri ilivyo kushoto watu wanai-underate.
Ila Kishiri Ina maeneo mengi mnoo tambarare na mazuri.
Nguvu ya mama[emoji12]
Uvccm wenzako hao [emoji12][emoji16][emoji16][emoji28]Huyu mama mnampa sifa kwenye miradi ambayo siyo yake ndio maana halati miradi[emoji1787][emoji1787]
Mimi ni timu BashiruUvccm wenzako hao [emoji12][emoji16][emoji16][emoji28]
[emoji12][emoji28][emoji28][emoji849],,,akilambishwa asali .atatulia kama wenzie kina pole pole , msukuma na gwajimaMimi ni timu Bashiru
Namhama[emoji12][emoji28][emoji28][emoji849],,,akilambishwa asali .atatulia kama wenzie kina pole pole , msukuma na gwajima
Si utahama Kila mtu ..,dawa ni kutenganisha mafuta na maji ndani ya mfumo wa ccm ambao ni corruptNamhama
Peleka hii msg yako kwa wapinzani, wakikuelewa wote wakawa ccm, uje kwanguSi utahama Kila mtu ..,dawa ni kutenganisha mafuta na maji ndani ya mfumo wa ccm ambao ni corrupt
[emoji28][emoji28][emoji106][emoji106]Peleka hii msg yako kwa wapinzani, wakikuelewa wote wakawa ccm, uje kwangu
Hayo Majaruba baada ya muda watapima viwanjaBuhongwa huko [emoji116]View attachment 2466025View attachment 2466026
Hivyo ni viwanja tayari ...Hayo Majaruba baada ya muda watapima viwanja
Kuna siku nilizungumzia Majaruba hapa, mtu alinijia juu sanaHivyo ni viwanja tayari ...
[emoji28][emoji28][emoji28]...namna ulivyo zungumzia .hata hivyo huku ni buhongwa mpakani na misungwiKuna siku nilizungumzia Majaruba hapa, mtu alinijia juu sana
Majaruba ya hivyo kwa Mwanza yako almost kila kona ukitoa maeneo ya zamani ya Jiji.[emoji28][emoji28][emoji28]...namna ulivyo zungumzia .hata hivyo huku ni buhongwa mpakani na misungwi
Mi nachojua hayo majaruba Mara nyingi yanakuwa ni open space,au maeneo ya serikali Kwa ajili ya uwekezaji....Majaruba ya hivyo kwa Mwanza yako almost kila kona ukitoa maeneo ya zamani ya Jiji.
Yawezekana.Mi nachojua hayo majaruba Mara nyingi yanakuwa ni open space,au maeneo ya serikali Kwa ajili ya uwekezaji....