Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Milima tutaisingizia tu ni mipango miji mbona capripoint, isamilo na nyegezi ipo vizuri?
Halafu hata hiyo Kishiri haina milima ya kutisha Kama Mwananchi, Mabatini,Bwiru,Igogo na Capripoint. Watu wanaisingizia tu.

Issue ni barabara ya kwenda Kishiri, ni mbovu na Kishiri ilivyo kushoto watu wanai-underate.

Ila Kishiri Ina maeneo mengi mnoo tambarare na mazuri.
 
Yeah kishiri Iko vizuri sana ...na ndio kata yenye watu wengi zaidi wilaya ya nyamagana
 
Buhongwa huko [emoji116]
20230101_193602.jpg
20230101_193612.jpg
 
Majaruba ya hivyo kwa Mwanza yako almost kila kona ukitoa maeneo ya zamani ya Jiji.
Mi nachojua hayo majaruba Mara nyingi yanakuwa ni open space,au maeneo ya serikali Kwa ajili ya uwekezaji....
 
Mi nachojua hayo majaruba Mara nyingi yanakuwa ni open space,au maeneo ya serikali Kwa ajili ya uwekezaji....
Yawezekana.

Ila kadri mji unavyokuwa hayo Majaruba watu huwa wanapima viwanja, tena sometimes wanawekaga greda linasawazisha.
 
Back
Top Bottom