Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,200
- 5,879
Nimeona majaruba ya pale kitumba kama unatoka mipango kuelekea stendi ya kisesa wamesawazisha grader ..sijui wanataka kujenga nini[emoji116]Yawezekana.
Ila kadri unavyokuwa hao Majaruba watu huwa wanapima viwanja, tena sometimes wanawekaga greda linasawazisha.