Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Hakika, drone ingefikia mitaa ya nyasaka, bwiru, isamilo, ilemela, nyamhongolo, nyegezi, buswelu.n.k ingekuwa poa sanaNaona hospital ya wilaya Kwa mbali hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika, drone ingefikia mitaa ya nyasaka, bwiru, isamilo, ilemela, nyamhongolo, nyegezi, buswelu.n.k ingekuwa poa sanaNaona hospital ya wilaya Kwa mbali hapo
Ok sawa nashukuru kwa kunijulisha kwahyo wale waliokuwa wanauza mbao mule wameondolewa kwa sasa?Saba Saba mkuu
Cathedral itakapokamilika itakuwa moja ya sehemu ya kivutio cha utalii sina shaka umaliziwaji wake utakuwa wa mguso wa kipekeeRC CHURCH KAWEKAMOView attachment 2557661
KabisaaCathedral itakapokamilika itakuwa moja ya sehemu ya kivutio cha utalii sina shaka umaliziwaji wake utakuwa wa mguso wa kipekee
Njoo kwenye group [emoji1787][emoji1787][emoji1787]..ndo utapata info za kutoshaWadau kuna mtu alikuja na taarifa juu ya ujenzi wa mall mpya maeneo ya Nyakato ningependa kufahamu maandalizi/ujenzi umefika hatua gani na mradi ni wa taasisi binafsi au vinginevyo?
Kwa manufaa ya wengi tupia japo kiduchu taarifa juu ya huo mradi japo kwa juujuu tuNjoo kwenye group [emoji1787][emoji1787][emoji1787]..ndo utapata info za kutosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Information bado ... Zaid tu ya site wanafanya clearanceKwa manufaa ya wengi tupia japo kiduchu taarifa juu ya huo mradi japo kwa juujuu tu
Ok sawa mdau nashukuru kwa taarifa ni Nyakato sehemu gani ?
National paleOk sawa mdau nashukuru kwa taarifa ni Nyakato sehemu gani ?
Namimi
Nimeshakutumia mda sana
Nitumie na mm mkuu
Na mimi
Ingia PMNa mimi
Nimeiona Kaka 🙏🙏Ingia PM