Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Siku ya ufunguzi wa soko kuu lisilokuwa na mfano hapa Tanzania hakika Mwanza itanoga zaidi.
 
1689805911622.png

Hapa n mtaa gan niambien maana nliondk Mwanza mda mrefu
 
Mlango mmoja inahamishiwa Nyegezi stand ya zamani ambayo ilitumika wakati stend mpya inajengwa
Kama miindombinu itawekwa ya kisasa Pale Ni Heri ihamie kule na itachangamsha lile eneo
 
Back
Top Bottom